Kupiga simu Uk/Usa

1800

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
2,215
603
Wadau naomba kujuzwa ni mtandao gani ni rahisi zaidi kwa maana ya charges kupiga simu nje hasa nchi za Uk na Us,mini ni mtu ninaejaribu kuanza kujihusisha na vijibiashara toka nchi hizo mbili,sasa naona gharama
 
Viber, tango ziko poa BUT talkatone ndo mpango mzima.


Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Fungua google voice, kila account mpya inakuja na free US number (unachagua number yenye area code yoyote unayotaka), utaonge bure bila pingamizi (unlimmited talk/text). Pia unaweza nunua skypein local number ili uweze kupiga na kupokea simu za US/UK.
 
Asante wandugu,hapa mmenipa urahisi sana,maana mitandao ya nchini walikua wananiumiza mno!
 
nunua magicjack magicJack ukiiunganisha utakuwa ukipiga simu USA na Canada buuuuuuuuuuuuuuure! just $20/ year!
 
mkuu si ujaribu kupiga hizo simu ujue kwa usahihi kila mtandao wanakata sh ngapi!!!
 
du hizi ni za kweli!!na hapa bongo nitaipataje na nita recharge namna gani!!!
kwa Bongo sijui utaipataje kwa kweli, jaribu kuulizia madukani, au uchukue online tu. Halafu zipo aina 2( Magic jack& magicjack plus). Plus is the best. Wanacharge kadi ya benki.
 
Take the magicJack Plus™ with you when you travel outside of the country and you will have free calls back to the U.S. and Canada. No matter where you are in the world you can call the U.S. and Canada for free. You can also consider buying magicJack PLUS for someone you know that lives overseas and give the gift of free calls to U.S. and Canadian Phone Numbers.
 
Wadau naomba kujuzwa ni mtandao gani ni rahisi zaidi kwa maana ya charges kupiga simu nje hasa nchi za Uk na Us,mini ni mtu ninaejaribu kuanza kujihusisha na vijibiashara toka nchi hizo mbili,sasa naona gharama

nilikuwa natumia Vodacom ,kuongea na Mtu wa Nashville,Tenesss, nilweka vocha ya 16,000/= TSH. niliongea kwa muda wa Nusu saa. salio likapaki 9,000/=
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom