Kupiga simu nje ya nchi!

Mchakatoh

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
302
39
Anaefaham tafadhali anipe mwanga..mm nkipiga cm Uganda mtu simpati lakn yeye akipiga ananipata ye anatumia voda...mm nataka nmpigie je nfanyeje?
 
Mwembie atafute airtel huwa inahkubali kirahsi pia simu za nje zinahitaji pia na yy awe na vocha, pia ujifunze kupiga sana maana huwa ni kazi kweli
 
Anaefaham viwango nafuu kupiga simu ndan ya Afrika mashariki msaada plzz!
 
Jaribu kuangalia setting za simu yako yawezekana imesetiwa isiruhusu kupiga simu za kimataifa
 
Anaefaham tafadhali anipe mwanga..mm nkipiga cm Uganda mtu simpati lakn yeye akipiga ananipata ye anatumia voda...mm nataka nmpigie je nfanyeje?
Kama ni voda, akiwa hana salio la kutosha huwezi kumpata kwa sababu wanamkata salio kupokea simu. Lazima awe na salio ili aweze kupokea simu. N a ni gharama kubwa kwa yeye kupokea simu akiwa nje ya nchi, ni nafuu akupigie. Unaweza kumtumia vocha kisha yeye ndio akupigie. Au mwambie atumie Airtel kwa sababu Voda na Tigo wanakata salio kwa mpokeaji wa simu aliye Kenya au Uganda.
 
Sote tunatumia airtel salio linatembea si kawaida ie1000/min nkicheki international bundle za airtel ni China na India tu! Nnayempigia yupo Uganda!
 
Kama ni voda, akiwa hana salio la kutosha huwezi kumpata kwa sababu wanamkata salio kupokea simu. Lazima awe na salio ili aweze kupokea simu. N a ni gharama kubwa kwa yeye kupokea simu akiwa nje ya nchi, ni nafuu akupigie. Unaweza kumtumia vocha kisha yeye ndio akupigie. Au mwambie atumie Airtel kwa sababu Voda na Tigo wanakata salio kwa mpokeaji wa simu aliye Kenya au Uganda.

mkuu kwani naweza tuna vocha kutoka tz kwenda Ug kwa airtel?
 
install app ya Mypeople ni nzuri sana kwa watu walioko nje!! ila maeneo uliopo iwepo 3G !! utaongea naye vizuri
 
Vipi kuhusu bundle za intanet nazo wanakata kwa bei juu kama unawasiliana nae kwa facebk?
 
Jamani ni nani amewahi kutumia zantel au airtel kupiga Africa mashariki. Na je gharama zikoje??
 
Internet hiyo kawaida tu kama hku lakn yeye hayupo kwenye masuala ya Facebook ndo napiga cm tu!
 
Back
Top Bottom