Kupiga simu bila kujiunga vifurushi, utawezana?

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
14,491
26,978
Sijui kwa kweli, hadi ofisi nyingi wananunua vifurushi kwa matumizi hata simu za mezani.

Binafsi sikumbuki mara ya mwisho, na ikitokea nimejisahau nikibeep tu sekunde kadhaa salio limeliwa roho inauma balaa!

Je, bado kuna wenye jeuri hiyo?
 
Mimi hua napiga
 
Back
Top Bottom