Kupiga picha msafara wa rais ni kosa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupiga picha msafara wa rais ni kosa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Mar 21, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,246
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Ijumaa mida ya saa tatu asubuhi maeneo ya Wizara ya nishati na madini king'ola kinakuja kwa mlio wa kasi mara makachero wa usalama wa taifa wanawalazimasha wafanyakaz wa wzr na tanesco kumuimbia nyimbo raisi!

  Nainua black berry yangu angalau niichue sura ya rais ili niilete jamvini mara anatokea afisa uchakachuaji "we acha kupiga picha" kwehema yangu nikaamua kuzima kabisa simu!!

  Naomba wanausalama nisaidieni kupiga picha tena kwa simu ni kosa?
   
 2. Jitihada

  Jitihada Senior Member

  #2
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna wakati inaruhusiwa na kuna wakati hairuhusiwi kwasababu za kiusalama.
   
 3. Wakumwitu

  Wakumwitu JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni mtindio tuu wa utendaji kazi wa vyombo vya usalama. Wanashindwa kutofautisha ni vitu gani ni hatari katika swala zima la usalama wa Rais.
   
 4. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hapana,kwa kawaida suala la usalama linaachwa kwa wao wana usalama waliopewa jukumu hilo.Hivyo wao wana maamuzi ya nini ni sahihi na nini sio sahihi.
  Lakini kwa mantiki hii,si ruhusa kupiga picha msafara wa raisi kwani unaweza tumia picha hiyo kwa ajili ya kupanga attack kwa mfano ukiwa umepiga picha gari anayotembelea raisi basi unaweza kwenda kupanga jinsi ya ku attack gari hiyo kwani tayar unayopicha ya jinsi ilivyo etc.
  Ndo maana picha nyingi za matukio kama haya hupigwa na mpiga picha maalum wa raisi.
  So kitaaluma ya usalama SIO SAHIHI KUPIGA PICHA,tena bila idhini ya wahusika.
   
 5. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Mkuu unaposema si sahihi ni kwa tz tu ama duniani pote? Mbona kuna mifano ya wazi inayopingana na hili? Mfano hai ni assassination ya jf kennedy upelelezi uliofatia tukio hili ulinufaika sana na picha za wananchi ambao kwa bahati walitokea kuwa ktk eneo la tukio wakipiga picha msafara wa raisi. Hii inamaanisha kuwa ni ruksa kwao kupiga picha
   
 6. s

  shadhuly Senior Member

  #6
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Tatizo hawa wana usalama wetu nao wanazidisha mbwembwe.
   
 7. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kama nilivyosema,hii yategemeana na wahusika wa usalama hiyo convoy.Ni sahihi kupiga picha kama kutakua na mechanism maalum ya kujua ni nani anapiga picha na kwa ajili ya nini.Wenzetu unaozungumzia (issue ya JF Kennedy)wako mbali kiteknolojia,in a way wao wanavifaa maalum vya kuweza kuzuia ama kujua nani kapiga picha hivyo inakua rahis kufuatilia.Sisi idara yetu ya usalama bado ni changa tunategemea human intelligence zaidi kuliko artificial intelligence hvyo kuzuiwa kama hivi ni sahihi lkn kama tungekua tayari advanced then picha fulani fulani zingekua restricted.
  sijui nimekuelewesha
   
Loading...