Kupiga picha maiti mortuary

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,081
5,061
Imekuwa ni kawaida sasa kuonyeshwa picha za marehemu katika magazeti na vyombo vingine vya habari na hata pale vifo hivyo vinapotokana na ajali. Maiti wanakuwa katika hali ambayo ni ya fadhaa lakini vyombo vyetu vimekuwa vinazitoa. Naomba ushauri wa kisheria kuhusu hili na hasa pale picha hizi zinapopigwa katika sehemu kama mortuary. Mshirika ya habari kama BBC na CNN hawaonyeshi picha hizi na huko ndiko tunapoiga mambo ywtu mengi-
 
Hawaonyeshi matukio ya huko kwao! ya iraq, syria na kwengineko wanaonyesha sometimes unedited
 
It depends kama hizo picha zinapigwa in a good will na kama ndugu na marehememu wote wameridhia..!
 
Back
Top Bottom