Kupiga picha daraja la Kigamboni sasa ni sh 250,000 kwa saa

Rubawa

JF-Expert Member
Dec 25, 2015
2,055
3,238
af6fc5d79f2578f8c94db43dd5c672e5.jpg
 
Watakua wameona fursa hapo, ila hii haija kaa sawa, tuchukulie nchi kama marekani watu huru kupiga picha hadi maeneo ya White House, sasa huku kama daraja tu wanagoma ikulu je!?
 
Hapa wanawazungumzia we wapiga picha za dk3 kwa buku!! Au raia yoyote tu ata na simu yake!??? ‍♂️‍♂️
9fc0e11720006db5e4587c819fec24eb.jpg
 
Back
Top Bottom