Kupiga bao kwenye hali ya ku panic

Tyrone Kaijage

JF-Expert Member
Jul 19, 2021
1,603
3,333
Hii kitu sijawahi kuhadithia mtu hahaha, mara ya kwanza enzi hizo niko form two kwenye NECTA, niseme tuu nilikuwa na focus sana na mamitihani ile na sijawahi kusoma kwa focus kama vile.
Basi siku hiyo paper haikuwa ngumu kwangu na ilinikalia vizuri sana ila tuu nilikuwa naremba kwenye kujibu maswali, sasa ile nasikia 30 min to go na nikiangalia maswali yaliyobaki nayaweza na nahisi muda hautatosha kumaliza basi, basi buana nikahisi kama panic halafu nikahisi kama wazungu wanakuja.
Mpaka leo sijajua uhusiano wa lile tukio na mwili ki biologia.
 
Hahaaa..umenikumbisha hii story...mwamba mmoja alinisimulia..lilikua pepa la math kaingia kwenye pepa tena la 4m4 necta...maswali magumu balaa..jamaa haoni kitu anawaza ndio hivyo tena kesha feli.

Anakwambia ile hofu..stress mara ghafla kakaja kama kausingizi katamu ndani ya hofu na stress..jamaa akajikuta kapizi.

Hahaaa..hatari sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hahaaa..umenikumbisha hii story...mwamba mmoja alinisimulia..lilikua pepa la math kaingia kwenye pesa tena la 4m4 necta...maswali magumu balaa..jamaa haoni kitu anawaza ndio hivyo tena kesha feli.

Anakwambia ile hofu..stress mara ghafla kakaja kama kausingizi katamu ndani ya hofu na stress..jamaa akajikuta kapizi.

Hahaaa..hatari sana.

#MaendeleoHayanaChama

Style ni hiyo hiyo aisee, hahah! unatema vitu kabisa, nilivyotoka kwenye paper direct to toilet nilichomo shati, likafunika sehemu athirika
 
Hahah
Hii ipo ase, mwenyewe imenitokea nikiwa katika mtihani hivyo hivyo. Baada ya paper tu iliibidi nisepe chap bila stori na watu hadi kitaa kuweka mambo sawa.
 
Hata ukibeti mkeka wa kula hela nyingi. Ukawa unaisubiria timu moja unaiangalia kabisa na labda ulibeti AWAY WIN,
dakika ya 3 tu ikawa 0:1
Mechi ikaenda hivyo hivyo mpaka dakika 90. Refa akaongeza dakika 4 za nyongeza. Kichwa hapo kinachakata mahesabu makali ya hela yako utakayopata labda ni 24,000,000.

Dakika ya 93 HOME anapata corner, inapigwa ndefu inaokolewa na kichwa lakini anatokea mchezaji mshenzi alibaki nyuma anapiga ndefu kipa anaigusa lakini inakuwa ya moto moja kwa moja ndani na unaona wachezaji wanashangilia hao tayari 1:1.

Hapo tayari dakika ya 93 sec46.
Unamwona kama refa kastopisha mpira anasikiliza radio labda kuna mchezaji wa home alimshika mchezaji wa timu yako na akamwangusha.
Hapo mwili unakufa kama ganzi hivi unamwangalia refa kwa huruma maamuzi yake yatakuwaje.

Mara refa anachora mstatiri kuashiria amesha-review tukio kupitia VAR, no offense. Ananyosha kidole mpira uwekwe kati, ni goli halali.
Hapo ndio utasikia wazungu hao hao hao.
Ilinitokea 2020 mkeka wa 8,000,000+
 
Daah! Pole mzeiya haha
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom