Kupiga bao kunasababisha upofu au ugonjwa wa macho?

Inasemekana kwamba wanaume wanapokuwa wanafika kileleni (wakati wanatoa risasi maji)...huwa macho yanafumba kwa sekunde kadhaa na kupoteza kaufahamu Fulani hivi machoni kisha hali hurudi kuwa ya kawaida sekunde chache baada ya kumaliza.

Je hali hii inaweza kusababisha upofu au ugonjwa wa macho, kutokuona wakati wa uzee?

Vipi hapo kitaa kuanzia mdingi na washua wa majirani kuna aliyepata hiyo hali baada ya kutumia hiyo DUDU miaka yote hiyo?
 
kama unapiga punyeto mara nyingi ndiyo inaweza kukuletea upofu lakini papuchi kama papuchi hapana bado sijafanya utafiti.
 
kama unapiga punyeto mara nyingi ndiyo inaweza kukuletea upofu lakini papuchi kama papuchi hapana bado sijafanya utafiti.

Ukipiga bomba ama papuchi mwisho wake ni "mshindo"...

Kama bomba inawezakuwa na shida kwenye macho kwanini papuchi isiwe na shida?
 
Kwa ninavyofaham upofu hutokana na kutumia dawa zavidonge vile vyakuongeza nguvu at once ile wakat wakuduu hasa Viagra!
 
hahah...hiyo ktu ya kukea matatiz ya sigt...husababishw na punyeto...ugaji sna wa punyeto husababish macho kuingia ndan kdgo na kutokuw na sight nzuri
 
Mmmh izi stor za vijiwenii baada yakuwasha yale makuni ya mdomoni na kuanza kutoa moshi so hapo hakuna ukweri wowote?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom