Kupendana kuna raha yake!

Mmmhh... Nimekumbuka mbali kweli!

Nilishawahi mwambia dada mmoja hivi, 'tukatiane chungwa'!!

Duh! Jicho lilimtoka mithili ya panya aliyebanwa na mlango!
 
ONE FOR THE ROAD...YOU HAVE HAD TOO MUCH TODAY BRO...
541466_356244624475580_869130086_n.jpg

Kuna uhusiano wowote kati ya makosa ya sarufi za lugha (common errors in language) na viroba? Kweli aisifuye mvua imemnyea!
 
chief picha yako imenchekesha sana nakumbuka nlitoka na my frend happy na eddo tukaenda jolly pombe zilinyweka sana sana viroba balaa kuja kumtafuta happy haonekani kumbe yupo uvunguni kwa gari la eddo kalala jamani sitasahau nlicheka sana kufika makazi si akataja kujirusha ghorofani kisha bf alikata kumfata wacha alie jamani viroba ni noma.
Sasa jiulize huyo alifikaje kwa tyres??

wako wengi si happy tu...

women_cars.jpg

trunk.jpg
 
Mmmhh... Nimekumbuka mbali kweli!

Nilishawahi mwambia dada mmoja hivi, 'tukatiane chungwa'!!

Duh! Jicho lilimtoka mithili ya panya aliyebanwa na mlango!

Tehe tehe....ilikua ngumu kukuelewa kwa haraka
 
Tehe tehe....ilikua ngumu kukuelewa kwa haraka

halafu sasa kibaya zaidi.. nilipomwambia 'tukatiane chungwa',

ilkuwa ni mbele za watu.. halafu hata chungwa wala kisu sina!!!

sister alikuwa bubu ghafla!!
 
halafu sasa kibaya zaidi.. nilipomwambia 'tukatiane chungwa',

ilkuwa ni mbele za watu.. halafu hata chungwa wala kisu sina!!!

sister alikuwa bubu ghafla!!

Daaah,asa mkaishia vip hapo? Maskini sister wa watu
 
Wastaarabu waungwana wenye maadili hawana mada za ovyo kama yako unajionyesha ni jinsi gani sii mstaarabu hujiheshimu hujafunzwa adabu heshima nidhamu na wazazi weka.mada za.kuelimisha watu jamii
 
Back
Top Bottom