Kupenda utamu kunawapeleka viongozi hawa huku

Kweli bhana... Niliona South Korea wanatoza kodi ya sukari kwenye products zenye sukari ili kuzuia maradhi yanayotokana na consumption ya sukari nyingi.
 
Mimi tangu malumbano ya sukari yameanza nimepigwa na mshangao. Sasa siku ya kisukar madokta wataongea nini?? Maana mkulu keshasema tugaiwe buree turambe!!!
 
Back
Top Bottom