GY
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,279
- 126
- Thread starter
- #41
Inawezekana sana tu.......ila kusiwe na strings attached.
Tatizo hapa ni hizi sheria tulizojiwekea.......mambo ya huyu ni wangu peke yangu nafikiri ni highest degree ya selfishness tuliyonayo binadamu....
Kwa hiyo, mambo ya sio fair, dahmbi na mengine kama hayo ndo yanaleta shida.........BUT, inawezekana. tukiachia mbali the fact kwamba baada ya hapo itafuata unapenda nn kwa huyu na unapenda nn kwa yule........mambo ya unapenda sana hayapo.....Unapenda nini zaidi YES!
Aisee Bigi toka ulivojifunza uvumilivu umekuwa na busara sana......nilitaka sana mtu mmoja aseme kitu fulani muhimu, na bahati umekisema....haya mambo ya huyu ni wangu tuu ndo yanaleta shida sana haya....it is indeed the highest degree of human's selfishness....
kwakweli mimi nimemaanisha kupenda kama kupenda bila kujali jinsia....yaani wanaume kupenda 1+ na wanawake ivoivo....
Tuendelee kujadili tukiwa soba