Kupenda kusikiliza kila unaloambiwa na watu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupenda kusikiliza kila unaloambiwa na watu

Discussion in 'Jamii Photos' started by Saint Ivuga, Sep 24, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,521
  Trophy Points: 280
  Kupenda kusikiliza kila unaloambiwa na watu[​IMG]
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ngano ya punda hii,mara ya kwanza niliiona kwenye comment ya m1 wa wana ze usweet 2008 na mara ya pili nikamsikia Roma ameteleza nayo juu ya tile alipokua anapoke tu(n)zo za kili mwaka huu 2012
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hii e-mail nimeipata leo from 3 different people and now here in JF!
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  za kuambiwa unatakiwa uchanganye na zako
   
 5. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hiyo imekaa uzuri, kubali ushauri but uamuzi ni wako. Kumbuka hadithi ya mbayuwayu.
   
 6. a

  abunura Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo inaonyesha utakalofanya wewe basi kuna watu wataona una makosa.
   
 7. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Inanikumbusha kipindi cha rtd "mazungumzo baada ya habari" baada ya yote waliamua kumbeba na hatimaye yule punda alitumbukia mtoni.
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  hahahahaa..........wewe una kumbukumbu sana kama Radio National 277, dudu proof, ile ya mbao.!! yani duduz aka mende hawezi kuingia ndani!!!
   
 9. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tukupigie makofi?

  Mi nakuona mchoyo kwamba hukuona haja ya kutuwekea na sisi wengine kama alivyofanya mkuu@Saint Ivuga
   
Loading...