Kupeleka mbele Ratiba ya Yanga vs Azam na Yanga vs Biashara United kulifuata kanuni!

Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
13,497
29,832
Kwanza nianze jambo moja...

Kama utanisoma kwa kuongozwa na Think Tank wa Club ya Simba, yaani Haji Manara, katu hutanielewa! Ni bahati mbaya sana nimetafuta barua kutoka TFF au hata Yanga zinazotoa maelekezo ya kupeleka mbele mechi hizo hapo juu!

Pamoja na yote hayo, kama utaweza ku-connect dot kwa wepesi kabisa hutachelewa kufahamu kwamba TFF walifuata kanuni katika kupeleka mbele mechi tajwa hapo juu tofauti na Haj Manara anavyowalisha ujinga mashabiki wa Simba!

Tuanze na mechi ya Yanga SC na Biashara United ambayo ilichezwa April 17. Tuanze kuunganisha dots kwa kuangalia post ya TFF kwenye akaunti yao ya Instagram:-

Hapo TFF wanatuthibitishia mechi kuchezwa April 17, 2021 saa 1:00 usiku.

Yanga Biashara 1.png

April 12, 2021 Yanga SC wana-tweet:-

Yanga Biashara 3.png

Utaona hapo, wakati siku ya April 17, 2021 TFF wanatujuza mechi kati ya Yanga na Biashara United inachezwa Saa 1:00 usiku; siku 5 kabla Yanga SC walitangazamechi hiyo kuchezwa April 17, 2021 saa 1:00 USIKU kama inavyoonesha post ya TFF!

Kwa bahati mbaya, sikufuatilia hiyo mechi, na kwahiyo sifahamu mechi ilichezwa wakati gani! Hata hivyo, Tweet hii ya Yanga SC inatoa picha halisi:-

Yanga Biashara 2.png

Utaona hapo April 17, 2021 saa 3:09 Yanga wana-post matokeo kati yao na Biashara United wakati mchezo umeshaisha!

Mchezo hadi kumalizika unachukua angalau Dakika 105; yaani 45 + 15 + 45 = 105! Kwamba, ni angalau saa 1 na dakika 45.

Kuanzia muda walio-tweet Yanga kuonesha mchezo umeshaisha (saa 3:09) kisha ukarudi saa 1 na dakika 45 nyuma, utafika hadi saa 1 dakika 24.

Yaani endapo kusingekuwa na dakika za nyongeza, na wala muda kupotezwa kwa namna yoyote ile, na Yanga wange-post hapo hapo mara baada ya mechi kwisha, ina maana hiyo mechi ingekuwa imeanza saa 1: 24!

Lakini kwa kuwa haiwezekani hilo kutokea, basi inaonesha wazi mechi ilianza kabla ya Saa 1 na dakika 24, muda unaoendana kabisa na Ratiba iliyotolewa na TFF hapo juu!!!

Sasa wanaodai mbona Yanga hawakugomea mechi na Biashara United walitarajia wangegomea kwa sababu zipi wakati inaonesha wazi kwamba, hata kama TFF walibailisha ratiba basi walifanya hivyo angalau saa 24 kabla ya muda uliokuwa umepangwa!

Turudi mechi ya Yanga SC vs Azam SC.

Yanga wana

Yanga Azam Match 1.png

Utaona hapo tangu April 22, Yanga SC wana-tweet kwamba, mchezo utachezwa April 25, saa 2:15. Je, mchezo ulichezwa saa ngapi?

Yanga Azam Match 2.png

Utaona hapo April 25, saa 10:11 usiku, Yanga wana-tweet kuonesha kumalizika kwa mchezo!! Ukitumia hesbu nilizofanya hapo juu, utaona Mechi ilianza anywhere kuanzia saa 2:25 kurudi nyuma!

Kwa maana nyingine, inaonesha wazi mechi ilianza muda karibu ule ule ambao ulikuwa umetangazwa takribani siku 3 nyuma, na hivyo, kwa mara nyingine, madai kwamba mbona Yanga SC hawakususia mechi ya Azam SC ni madai yasio na msingi!!
 
Yaani wewee bonge la fala kweli kweli, yaani unataka mvuta gongo yoyote awe anatoa maelekezo ya kusogeza mbele mechi bila kufata kanuni na taratibu??????
 
Kwanza nianze jambo moja...

Kama utanisoma kwa kuongozwa na Think Tank wa Club ya Simba, yaani Haji Manara, katu hutanielewa! Ni bahati mbaya sana nimetafuta barua kutoka TFF au hata Yanga zinazotoa maelekezo ya kupeleka mbele mechi hizo hapo juu!

Pamoja na yote hayo, kama utaweza ku-connect dot kwa wepesi kabisa hutachelewa kufahamu kwamba TFF walifuata kanuni katika kupeleka mbele mechi tajwa hapo juu tofauti na Haj Manara anavyowalisha ujinga mashabiki wa Simba!

Tuanze na mechi ya Yanga SC na Biashara United ambayo ilichezwa April 17. Tuanze kuunganisha dots kwa kuangalia post ya TFF kwenye akaunti yao ya Instagram:-

Hapo TFF wanatuthibitishia mechi kuchezwa April 17, 2021 saa 1:00 usiku.

View attachment 1779460

April 12, 2021 Yanga SC wana-tweet:-

View attachment 1779471

Utaona hapo, wakati siku ya April 17, 2021 TFF wanatujuza mechi kati ya Yanga na Biashara United inachezwa Saa 1:00 usiku; siku 5 kabla Yanga SC walitangazamechi hiyo kuchezwa April 17, 2021 saa 1:00 USIKU kama inavyoonesha post ya TFF!

Kwa bahati mbaya, sikufuatilia hiyo mechi, na kwahiyo sifahamu mechi ilichezwa wakati gani! Hata hivyo, Tweet hii ya Yanga SC inatoa picha halisi:-

View attachment 1779462

Utaona hapo April 17, 2021 saa 3:09 Yanga wana-post matokeo kati yao na Biashara United wakati mchezo umeshaisha!

Mchezo hadi kumalizika unachukua angalau Dakika 105; yaani 45 + 15 + 45 = 105! Kwamba, ni angalau saa 1 na dakika 45.

Kuanzia muda walio-tweet Yanga kuonesha mchezo umeshaisha (saa 3:09) kisha ukarudi saa 1 na dakika 45 nyuma, utafika hadi saa 1 dakika 24.

Yaani endapo kusingekuwa na dakika za nyongeza, na wala muda kupotezwa kwa namna yoyote ile, na Yanga wange-post hapo hapo mara baada ya mechi kwisha, ina maana hiyo mechi ingekuwa imeanza saa 1: 24!

Lakini kwa kuwa haiwezekani hilo kutokea, basi inaonesha wazi mechi ilianza kabla ya Saa 1 na dakika 24, muda unaoendana kabisa na Ratiba iliyotolewa na TFF hapo juu!!!

Sasa wanaodai mbona Yanga hawakugomea mechi na Biashara United walitarajia wangegomea kwa sababu zipi wakati inaonesha wazi kwamba, hata kama TFF walibailisha ratiba basi walifanya hivyo angalau saa 24 kabla ya muda uliokuwa umepangwa!

Turudi mechi ya Yanga SC vs Azam SC.

Yanga wana

View attachment 1779488

Utaona hapo tangu April 22, Yanga SC wana-tweet kwamba, mchezo utachezwa April 25, saa 2:15. Je, mchezo ulichezwa saa ngapi?

View attachment 1779491
Utaona hapo April 25, saa 10:11 usiku, Yanga wana-tweet kuonesha kumalizika kwa mchezo!! Ukitumia hesbu nilizofanya hapo juu, utaona Mechi ilianza anywhere kuanzia saa 2:25 kurudi nyuma!

Kwa maana nyingine, inaonesha wazi mechi ilianza muda karibu ule ule ambao ulikuwa umetangazwa takribani siku 3 nyuma, na hivyo, kwa mara nyingine, madai kwamba mbona Yanga SC hawakususia mechi ya Azam SC ni madai yasio na msingi!!
Analysis nzuri sana umekua ku-document evidence
 
Wanaelewa, ila wamekaza tu mafuvu.
 
1. TFF ilipata "maelekezo" ya serikali kusogeza mechi mbele?

2. Maelekezo ya serikali kwa TFF yalizingatia sheria? Yalikuwa halali kisheria?

3. TFF walikuwa sahihi (kisheria na kikanuni) kupokea na kutekeleza maelekezo ya serikali ya kusogeza muda wa mechi mbele?

4. TFF ilitumia kanuni gani kutekeleza maelekezo ya serikali? Timu zote na wadau walitaarifiwa kuhusu maelekezo ya serikali?

5. Timu (Yanga na Simba) zinawajibika kisheria na kikanuni kutii maelekezo ya serikali/TFF?

6. Timu kukaidi maelekezo ya serikali/TFF kama inaamini hayafuati kanuni/sheria ni kosa? Yanga kupeleka timu uwanjani saa 11 badala ya saa 1 kama maelekezo ya serikali/TFF yalivyotaka ni utovu wa nidhamu? Na Simba kutii maelekezo ya serikali/TFF yanayovunja kanuni ni kosa?

7. Yanga kutopeleka timu kwa mechi ya saa 1 ilifanya kosa? Kwa kanuni ipi?

8. Nini kilisababisha mechi kuahirishwa kutoka saa 11 (8/05/2021) mpaka saa 1 baadae kutoka saa 1 mpaka tarehe nyingine? Ni timu (Yanga / Simba) zimesababisha?
9. ...
10. ...
 
Hakuondoi ukweli kuwa yanga walitumia udhaifu wa TFF kuwakimbia simba, haya mengine yoyote ni kutafuta kichaka cha kujifichia tu ili ukweli halisi usionekane, ila ni ukweli ulio wazi kabisa yanga waliikimbia simba, japo ni mbinu nzuri ya kwenda kujipanga upya ukizingatia kocha wao ni mpya, sema imewaumiza wadau wa soka.
 
  • Thanks
Reactions: SMU

Utopolo wametumia udhaifu wa TFF kumkimbia mnyama halafu nyie mnaleta stori ndeefu!

Hivi mnajua maana ya kukimbia mchezo kweli nyie watu?!

Hadi siku ya mechi inafika, ulishawahi kuwasikia Yanga wakilalamikia chochote kile kama ilivyo kawaida ya tmu hizi mbili, kama vile kulalamikia marefa, na mambo mengine kama hayo?

Unakimbiaje wakati timu imefuata taratibu zote, na kwenda hadi kwenye pre-match meeting bila kuwa na malalamiko ya aina yoyote?!

Hivi Simba imeanza kuwa mzuri msimu huu?! Hiyo misimu miwili iliyopita wakati Simba bado ikiwa ya moto mbona hamkuonesha cha kuwafanya watu wawakimbie?

Yaani Yanga wasiwakimbie Simba enzi za kupitisha bakuli, ndo wawakimbie leo?!

Lakini hivi kipi kinanishangaza wakati Haji Manara ndie Think Tank wa Msimbazi!!!!
 
Back
Top Bottom