Kupatwa kwa Jua: Sayansi imethibitisha Mungu hayupo

Yan we hujielewi una mawazo ya chekechea kumbuka hyo elimu ya kujua yote hayo mungu ndo ametufundisha,ila kwa sababu jicho lako ni moja haya endelea kumkosoa aliyekuumba,ulikuwa hujijui kabsa kama utakuja dunian Leo hii ksa umekula umeshba Badala ya kumshkuru mungu wew unathubutu kusema wanasayansi ni wajuz kuliko mungu ,yan we n mjnga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
umeni quote kimakosa au?
 
Aisee umehit to the point..... Yan umemaliza, watu wanakufuru Mungu sana kwa simple issue ya kisanyansi
Issue ya Lunar Eclipse na Solar Eclipse ndio vikufanye uone Mungu hayupo???? Shame on you mleta thread.
Back to school

Sent using Jamii Forums mobile app
eclipses lazima ituache na maswali mengi kuhusu uwepo wa mungu kwasababu vitabu vya dini nimeshindwa kutoa maelezo sahihi kuhusu hili. mfano mtume Muhammad kwenye hadithi alisema eclipses ni dalili za siku ya kiama na aliwaambia watu wasali sana kwasababu mungu amekasirika. leo hii eclipses watu wanaweza ku predict itatokea siku gani, muda gani na sehemu gani. ni wazi kwamba mtume hapa alikosea kwasababu huwezi kutabiri mungu atakasirika siku gani. sasa kama dini imeshindwa kufafanua jambo dogo kama hili kwanini tuamini uwepo wa mungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu kupatwa kwa jua ata Biblia imeeleza,,labda mtoa mada hupendelei kusoma Biblia
. Yoeli 2:30
. Nami nitaonyesha mambo ya ajabu katika mbingu na katika dunia, damu, na moto, na minara ya moshi.

Yoeli 2:31
. Jua litageuzwa kuwa giza, na mwezi kuwa damu, kabla haijaja hiyo siku ya Bwana iliyo kuu na itishayo.
 
Hata wakisema hayupo, hainibadili imani; ikitokea wakaona hakuna nililotendewa, shukrani kwake sitoacha! MUNGU wangu anaishi ila anatuvumilia upumbavu wetu
 
Yan we jamaa kama ulikua akilini mwangu, jana nikiwa narudi hm nilifikiri kitu kama hicho ulichoandika.
Wana sayansi mambo yao yanadhirika( wanayasema na yanatoke), mimi huwa naamini katika uhalisia, yani hadi jambo nilione mi mwenuewe ndo nakubali.
Hadi jana Mungu na Sayansi kwangu vilikua viko katika uwiano yaani 50/50, sasa kwa tukio la jana, ambalo wanasayansi waliliongea na limetokea 98%, sasa uwiono umebadilika imekua 35/65.
Watu wa dini nionyesheni jambo litakalofanya niamini Mungu yupo.
Uthibitisho wa kwana angalia ubile lako la mwili
 
Sayansi kwa asilimia kubwa hujaribu kuelezea kwa usahihi kile Mungu alichokifanya, mambo ya eclipse yapo kwenye Biblia, naamini kule kutiwa giza kwa jua inaimansha hizi eclipse etc.
 
Pumbavu sana! hamjui hata kupatwa kwa jua kulianza lini? halafu mnaleta ushetani wenu wa kisayansi hapa pyuuuuu....
 
Katika watu wapumbavu na wasio na akili, ni wale wapingao uwepo wa Mungu. Miili yao yenyewe inawashuhudia kuwa Mungu yupo.
Wanasayansi wenyewe wanahangaika mpaka sasa kujua chanzo cha sayari na mpangilio wake.
Wao wanachunguza kilichofanywa na Mungu na VINGINEVYO.
 
Usiseme watu wajinga huku wewe mwenyewe huna uthibitisho. Unaweza kuthibitisha kuwa Mungu yupo!??
 
Sawa MUNGU hayupo,, na Huyo aliyeweka hizo sayari,, jua,, nyota na vilivyomo duniani na mbinguni ni nani?
 
Wanabodi
Salaam;

Kwa muda hapa watu wamekuwa wakibishana juu ya uwepo wa Mungu. Wengine wakisema Mungu hayupo na wale wanaoamini uwepo wa Mungu.

Binafsi nikiunganisha hoja za wale wanaosema hakuna Mungu na tukio la leo sept.mosi la kisayansi la kupatwa kwa jua,kwa kiwango kikubwa wamethibitisha Mungu hayupo!

Tukio la kupatwa jua,limetangazwa muda mrefu na wanasayansi wakieleza itakavyokuwa,sehemu,muda na hata siku itakapotokea tena hapa Tanzania na sehemu zingine.

Sayansi haiwajawahi kudanganya,lkn viongozi wengi wa Dini hakuna jambo hata moja ambalo wanaweza kueleza kwa wafuasi wao kwa uhakika km litatokea. Viongozi wa dini kazi yao ni kujaza watu uoga na hilo wamefanikiwa sana.

Alipoulizwa maoni yake kuhusu tukio la kupatwa kwa jua,shekhe wa mkoa wa Dar. Alisema tukio hilo ni uthibitisho wa uwepo wa Mungu na kwamba waislamu ktk tukio km hilo,wanapaswa kusali sana!

Alipoulizwa askofu mkuu msaidizi wa jimbo la Bukoba alisema kanisa halina kanuni yoyote inayoelezea tukio hilo nae akasisitiza watu kusali.

Kuna umuhimu wa kufundisha zaidi watoto wetu sayansi kuliko dhana isiyoaminika ya maandiko matakatifu.

Siku ambayo wanasayansi watatangaza kuwa kuna kimondo kitaipiga Dunia na kwamba itakuwa ndo mwisho wa Dunia,hakuna ubishi huo ndo utakuwa mwisho. Na wale wanaosubiri kurudi kwa Yesu kristu watabaki na hiyo hadithi isiyo na kikomo.

Nawasilisha...!
Hii inaonesha ni kwa kiasi gani shetani alivyofanikiwa kuimiliki akili yako. OK hebu tupe uthibitisho mwingine wa kuwa shetani na malaika wa aina zote kuwa nao hawapo.
 
Safi sana mtoa hoja, dini ni kasumba ya kushindwa kupambana na hali yako. Eti kuna maisha mazuri baada ya kifo, uishi maisha ya kinafiki, upigwe shavu la kulia umgeuzie shavu jingine eti Mungu ndie anaejua!!! Pambana na hali yako bila unafiki. Mwanasayansi akisema kitu ninakiheshimu na sio maisha baada ya kifo, akisema mwanasayansi kuna maisha baada ya kufa naunga mkono.
 
Akisema mwanasayansi au sayansi?
 
Ujasiri wa mtoa mada kuandika kuwa 'sayansi haijawahi kukosea....' ni suala la kufikirisha mno. Mwanadamu anaweza kujidhania kuwa anajua sana lakini kumbe hajui kabisa! sayansi haijawahi kukosea?!!
 
Aliyeuliza akisema mwanasayansi au sayansi, sayansi sio mtu ila mwanasayansi ni mtu aliyesomea sayansi na akahitimu sawasawa sio kiblaablaa.
 
Back
Top Bottom