Mzawa_G
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 667
- 1,467
25 Oct kutakuwa na tukio la kupatwa kwa Jua letu ambapo tukio hilo litakuwa ni dogo sana " Partial solar eclipse " yaani halitakuwa la kufanya jua lisiweze kuonekana kataka maeneo yote ambayo tulio hilo litakapoweza kutokea
Kupatwa kwa Jua hutokea pale pindi Jua mwezi na dunia vikiwa vimejipanga katika mstari mmoja uliokuwa mnyoofu huku mwezi ukiwa kati ya dunia na Jua letu , ambapo mwezi huweza kukinga mwanga wa jua kuweza kufika katika eneo fulani dunia katika nyakati fulani za mchana wa jua kali
Partial solar eclipse tunaweza kukielezea kitendo hichi kama ifuatavyo , wakati wa kupatwa kwa jua katika eneo fulani mwezi unakuwa hauzibi mwangaza wa jua au hauzibi jua kuweza kuonekana kwa umbo lake lote kama tulivyozoea ila huwa inaziba baadhi ya eneo lake dogo sana au nusu na huwa tukio zima halidumu kwa muda mrefu sana bali huwa tukio la muda mfupi
Maeneo yatakayoweza kuona tukio hili ni yale ya Asia , Middle east kwenye nchi zake zote zile , Ulaya mashariki na baadhi ya maeneo ya Ulaya Magharibi bila kusahau maeneo ya Afrika Kaskazini na kuelekea kidogo afrika ya Mashariki katika nchi za Sudani
#Gerald #Tanzaniascienceyetu #Elimuyaangazambali