Kupatwa kwa jua 15 January 2010 na 11 July 2010

GM7

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
492
24
Baadhi ya nchi zinatarajia kushuhudia tukio hili ambalo ni adimu na watalii wengi husafiri kwenda tukio liliko.
SE2010Jan15A.gif

Kwa maelezo zaidi unaweza kutembelea HAPA
 
Lets wait and see, for it is GOD's will. We HUMAN can not intervene.
 
Jamani eh, kwa atakayewahi kuchungulia angani (ofcourse kwa kutumia miwani myeusi au negative ya picha) jua linaonekana kama mwezi mchanga (crescent)
 
Kenya na uganda tuna share nao time zone.
Jua ni moja na mwezi ni mmoja,
iweje jua lipatwe kenya na uganda tu na sio tanzania?
Mababu wetu walisema kuwa kila sehemu ina jua lake na mwezi wake.
Nawaunga mkono mababu kwa sababu sayansi ya wazungu inatuibia.
 
Wale mlioko wa Dar, tokka nje na chupa ya bia, ushuhudie kupatwa kwa jua ndio kunamalizikia malizikia!.
 
FL,
Haukulala mama????unasubiri kupatwa kwa jua??? Hivi umetekeleza jukumu lako la usiku kweli????? hahahahah!
 
Kenya na uganda tuna share nao time zone.
Jua ni moja na mwezi ni mmoja,
iweje jua lipatwe kenya na uganda tu na sio tanzania?
Mababu wetu walisema kuwa kila sehemu ina jua lake na mwezi wake.
Nawaunga mkono mababu kwa sababu sayansi ya wazungu inatuibia.



hii kiboko dah......
 
du na mie nimechungulia kweli bwana thanx Ambassador

Karibu FL, umegonga senks button lakini? Nimechela mzungu mmoja hapa ofisini alikuwa anahangaika kupiga picha, akitumia kamera tu inakuwa nyeupe, akipiga akiwa kavaa miwani inakuwa nyeusi!
 
Kutokana na hali ya hewa ya leo asubuhi maeneo ya jijini Mbeya kuwa na mvua hatukuweza kushuhudia tukio hilo kiurahisi maana jiji zima ilikuwa ni mawingu tu.
 
zamani shule ya msingi tulikuwa tunaweka maji kwenye karai mnaona live ckuizi unavaa miwani nyeusi
 
Back
Top Bottom