Kupatwa kwa IFM

Hizi shule zichunguzwe ni jipu haiwezekani awe amemaliza form six hawezi kuandika sentensi ya kiingereza ikaeleweka.
Hapo sasa...mtihan wa kiinglish inakuwaje uandishi? Waalim wana kazi aisee
 
IMG-20161007-WA0025.jpg
IMG-20161007-WA0025.jpg
 
Duh we mshikaji mfukunyuku balaaa umeenda adi kumtafta ifm

Unajua mitandaoni watu huwa wanaandika ti , mfano nasoma udsm, au ifm but ukweli inakuwa sio hivo, nikahis uyu atakuwa kaandika ivo but si mwanafunzi wa chuo mtarajiwa. But ukweli ndo huo kuwa ni mwanafunzi mtarajiwa wa chuo kikuu
 
Hapo kamaliza form six, na nadhani atakuwa amesoma mchepuo wenye H ndani yake. Sasa kama ninavyofikiri ni kweli, basi ni tatizo. Ila kama ana nia ya dhati ataweza kujifunza na kuelewa.
Ndio hv v form 6 leavers vinajiona bora kuliko diploma holders
 
Oh my God! This shows how difficult English language is, especially to most Tanzanian students..!

Hapo kweli IFM imepatwa..

Nawaza tu lakini..
Wazee wa kujiuza town haaaah IFM no chaka la wauni hasa mademu wa hapo ni hovyo sana.......
 
walioko fb wamuulize kwa kiswahili alitaka kusema nini halafu wamuandikie ili ajifunze

Ahsante Mungu kwa yote uliyonijalia siwezi kujivuna mimi kama mimi kwa kuwa ni wewe uliyeniwezesha kufika hapa nilipo, ninafuraha kwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu IFM
 
sio vizuri kucheka ila nimeshindwa kujizuia. Sio lugha yetu!
By the way she is so confident. Kama anajua hajui na bado anaandika na akikazana kujifunza atafanikiwa.
 
Back
Top Bottom