tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,405
Hapo sasa...mtihan wa kiinglish inakuwaje uandishi? Waalim wana kazi aiseeHizi shule zichunguzwe ni jipu haiwezekani awe amemaliza form six hawezi kuandika sentensi ya kiingereza ikaeleweka.
Hapo sasa...mtihan wa kiinglish inakuwaje uandishi? Waalim wana kazi aiseeHizi shule zichunguzwe ni jipu haiwezekani awe amemaliza form six hawezi kuandika sentensi ya kiingereza ikaeleweka.
huyo katokea st magulokcsHaya ndo matokeo ya ile BRN, hata hivyo shule zetu nyingi za serikali, hususani za kata, zipo nyuma sana kwenye suala la hii lugha ya kigeni.
Duh we mshikaji mfukunyuku balaaa umeenda adi kumtafta ifmNikajua huenda anasingiziwa basi nikaangalie walio be selected, aisee nikamkuta, means ni kweli aisee
Duh we mshikaji mfukunyuku balaaa umeenda adi kumtafta ifm
Sawa Mkuu c unajua kuzaa cha facebook.Nielewe bwana mdogo.Huyo dada aweza kuwa sio mwanafunzi kabisa ila ameandika IFM kujikikisha
Pia sipo IFM mimi
Ndio hv v form 6 leavers vinajiona bora kuliko diploma holdersHapo kamaliza form six, na nadhani atakuwa amesoma mchepuo wenye H ndani yake. Sasa kama ninavyofikiri ni kweli, basi ni tatizo. Ila kama ana nia ya dhati ataweza kujifunza na kuelewa.
Wazee wa kujiuza town haaaah IFM no chaka la wauni hasa mademu wa hapo ni hovyo sana.......Oh my God! This shows how difficult English language is, especially to most Tanzanian students..!
Hapo kweli IFM imepatwa..
Nawaza tu lakini..
Duh! Basi nadhani hakuna tofauti na CBE MwanzaWazee wa kujiuza town haaaah IFM no chaka la wauni hasa mademu wa hapo ni hovyo sana.......
Sawa lakini mtu kama huyo amefikaje IFM?Ujui usemalo
walioko fb wamuulize kwa kiswahili alitaka kusema nini halafu wamuandikie ili ajifunze
haya nenda kamasaidie kutafsiri kuleAhsante Mungu kwa yote uliyonijalia siwezi kujivuna mimi kama mimi kwa kuwa ni wewe uliyeniwezesha kufika hapa nilipo, ninafuraha kwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu IFM
hahahha sina a/c huko tehe tehe tehehaya nenda kamasaidie kutafsiri kule
Huko Facebook kila kitu wanagawa likes.....Alafu unaweza ukakuta kapata likes kama 100
kweli.Huko Facebook kila kitu wanagawa likes.....
Ata CBE dar..Duh! Basi nadhani hakuna tofauti na CBE Mwanza