Kupatikana kwa Loss Report Mtandaoni: Kongole sana Jeshi la Polisi

Ni hivi, loss report inapatikana online mwanzo mwisho. Huna haja ya kwenda kituo cha polisi kupanga foleni.

Mwanzo swala hili lilikua kama ni nightmare coz lilikuwa linainvolve alot of excessive procedures ambazo zilicost muda na fedha. Now just your smartphone shughuli imeisha.

Hongera sana, taasisi nyingine muige huo mfano.
weka link please
 
Hiyo ya kuconfirm imeondoka na mwendazake..now unamaliza mwenyewe
Jana tuu nimetoka polisi ku confirm,tuambie ukipata control namba utapataje RB kama hujaenda Polisi? pia huwei ku ku download loss report kama hujathibitishwa na polisi ana kimashine fulani
 
asnte hapa inaonekana kama vile mtu ameshatuma taarifa za mali iliyopotea na sasa anapata majibu. Nataka kutuma kutoa taarifa ya kupotea kwa say leseni yangu ya udereva.Nafanyaje, where do I log in
Unatengeza account kwanza...you must have valid identity kama leseni..kura au kitambukisho cha taifa..after zati unajimwaga tu.
 
Umehadithiwa hujawahi kufanya hiyo kitu, baada ya process zote polisi lazima
Yuko sahihi kwa loss report ya vitu vidogo vidogo kama laini ya simu, vitambulisho nk.
Lakini ni mpaka utambulisho wako uthibitishwe kwa kutumia kitambulisho cha NIDA, kisha ndo utaweza kujiprintia tu mwenyewe loss report.
 
Yuko sahihi kwa loss report ya vitu vidogo vidogo kama laini ya simu, vitambulisho nk.
Lakini ni mpaka utambulisho wako uthibitishwe kwa kutumia kitambulisho cha NIDA, kisha ndo utaweza kujiprintia tu mwenyewe loss report.
Kwa sasa ukitumia Kitambulisho cha Nida (Kujaza taarifa wakat wa kuomba Loss report), unamaliza mwenyewe kupata loss report.
Ila ukitumia kitambulisho tofauti na Nida, kama vile, cha mpiga kura leseni au kingine chochote, hapo lazima uende police kuthibitisha.
 
Umehadithiwa hujawahi kufanya hiyo kitu, baada ya process zote polisi lazima
Si kweli labda Kama kunavitu vingine...mm niliwahi kupoteza bima ya afya ya mtoto wangu nilifanya kilakitu nyumbani kwangu nikaingiza namba zangu za KITAMBUISHO Cha taifa nikalipia 500 nikaprint nikaenda bima kuomba kadi nyingine Wala uko polisi sikukanyaga
 
Nimejaza taarifa kwa namba ya nida lakini naambiwa hivyo 👇
Screenshot_20210605-110135_1.jpg
 
Nimejaza taarifa kwa namba ya nida lakini naambiwa hivyo 👇View attachment 1808801
Hawa polisi makanjanja sana, Tangu jemdari Hayati Magufuli afariki, wamerudia ugoigoi wao, vijana wa SIRRO wanamuabisha sana.

Hata mimi nimejaza taarifa zote vizuri kwa kutumia namba ya NIDA wananiambia niende kituo cha polisi chochote kuthibitisha.

Ukikaa ukifikiria vizuri unaona kabisa hii miradi ya stationary ni ulaji wa baadhi ya askari, so ni lazma walambe bukubuku za ku printia, JESHI LA POLISI LA TANZANIA ni hovyo kabisa katika utendaji, wajitahidi wabadilike.

Shenzi zao
 
Back
Top Bottom