Kupata Visa Ubalozi Wa Misri Ni Noma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupata Visa Ubalozi Wa Misri Ni Noma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kabwela, Feb 19, 2008.

 1. Kabwela

  Kabwela Member

  #1
  Feb 19, 2008
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wa Tanzania tumefanywa vihoja kwani kwa sasa Mtu mwenye passport (Hati ya kusafiria) ya Tanzania inamchukua wiki TANO (5) kupata VISA ya kwenda MISRI wakatiwenye hati za nchi nyingine ni siku TANO za KAZI. Je MISRI waTZ hatutakiwi au wao ndio wanatufanyia Ufisadi????

  Kuna Tetesi kuwa kuna Mtaalamu MMOJA toka Misri ilikuwa aje kufundisha watu wa IT BoT moja ya majina yake ni OSAMA amezuiliwa kwani alikuwa anakuja wakati BUSH anakuja Bongo. Kutokana na USANII na usumbufu wanaopata kwao Ubalozini kwetu na jamaa wameamua kutukomoa.

  Hivi tume ziundwe kwa kila kitu jamani tutafika bongo!!!!!!!!!1
   
Loading...