Kupata RB ni lazima uwe na barua ya mwenyekiti wa mtaa?

American nigga

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
667
944
Naulizia kama kupata RB ni lazima uwe na barua ya mwenyekiti wa mtaa? Nina tatizo kubwa hapa kuhusu usalama wa maisha yangu ila Police, Wanadai nirudi kwanza home nikapate barua ya mwenyekiti.

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
 
Kachukue kwanza barua kwa mwenyekiti, uende hata na sanitizer 1 na mask 1 utoe kama zawadi kwa mwenyekit na utashughulikiwa haraka sana
 
Naulizia kama kupata RB ni lazima uwe na barua ya mwenyekiti wa mtaa? Nina tatizo kubwa hapa kuhusu usalama wa maisha yangu ila Police, Wanadai nirudi kwanza home nikapate barua ya mwenyekiti.

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
Heh. Vipi tena. Kuna mtu anakutishia maisha?
Kama ukimwi hautoshi, korona je?
 
Naulizia kama kupata RB ni lazima uwe na barua ya mwenyekiti wa mtaa? Nina tatizo kubwa hapa kuhusu usalama wa maisha yangu ila Police, Wanadai nirudi kwanza home nikapate barua ya mwenyekiti.

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
Hakuna kitu kama hicho, huyo askari itakuwa baada ya kukusikiliza, maelezo yako, akaona hayana mashiko, ya kijinai, ndio maana akaona kamueleze tu mwenyekiti wako wa mtaa!!!
 
Back
Top Bottom