KUPATA MWEZI TANZANIA: Tumeshuhudia Utukufu wa Muumba jana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KUPATA MWEZI TANZANIA: Tumeshuhudia Utukufu wa Muumba jana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GHOST RYDER, Jun 16, 2011.

 1. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ajabu jana mwezi ulikuwa kamili na ulikuwa unang’aa kwa mwangaza wa ajabu na kupunguza adha ya kiza cha mgao ulioshamiri maeneo mengi ya Tanzania kwa sasa kabla ya majira ya saa 3 na dk.24 kupatwa na jua na taratibu kuanza kumezwa mpaka kufikia majira ya saa 5 kasoro robo mwezi ulikuwa umemezwa kwa kipenyo cha nyuzi 360 (Total Lunal Eclipe)
  Takwimu za Kiasayanzi
  Ni tukio ambalo halijatokea zaidi ya miaka 11v iliyopita na linatatokea tena mwaka 2018. Ambaye hakubahatika kulishuhudia ategemee uzima wa miaka mingine 18 kushuhudia tukio kama hili.
  Dunia hupoteza stability yake na kuna uwezekano mkubwa wakati mwingine bahari kujaa hadi pomoni na kuathiri sehemu zilizo karibu na fukwe kutokana na centre of gravity (The moon) kuwa totally obstructed na jua.
  Mtazamo wa Kidini
  Ni wakati ambao waumini kwa dini zao huhimizwa kusali sana na kumuomba Mungu kwa tukio hilo kupita haraka ili kuepusha gharika ambalo linaweza kulikumba dunia.
  Baada ya Gharika ya Nuhu na Safina na upinde wa mvua kutokea kuliashiria mwisho wa gharika zote za maangamizi makubwa nay a mateso kama ilivyokuwa katika zama hizo. Lakini madhara ya kupatwa kwa mwezi yanatajwa katika maandiko matakatifu kuwa yanaweza kuwa zaidi ya Gharika za akina Luut na Nuhu.
  (Tafakari kuhusu Imani yako na tafuta andiko kuyabaini haya kwa faida yako)
   
 2. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Tukio la kukamatwa mwezi litatokea tena July.01.2011.
   
 3. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Yeah Mkuu lakini sio kama la jana TOTAL LUNAR ECLIPE
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Mimi na muabudu Mungu wa kweli: mungu wa Yakobo, Mungu wa Eliya , Mungu wa Abrahamu. Mimi siabudu mungu wa Jua na mwezi na nyota, period.
   
 5. A

  Anold JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Utukufu wa muumba upo kila siku na kwa kila kitu ukionacho. Huo mwezi wenyewe tu ukiuona ni utukufu, nyota zilizosheheni angani ni utukufu, kila kitu ambacho mimi nakiona ni utukufu, sula la kupatwa kwa jua halina tofauti na kuona wadudu wadogo kama sisimizi wakifanya shughuli zao kwa umakini kushinda binadamu aliyekirimiwa akili na maarifa ya kupindukia, hivyo basi sipingi kuwa kupwatwa kwa jua ni jambo lenye utukufu ila kila kitu na kila siku lazima tuone utukufu wa mungu, hata hivyo kwa jana kilichotokea ni kuwa dunia ilikaa katikati ya mwezi na jua hivyo kivuli cha dunia kuangukia kwenye mwezi. Kutokana na namna Dunia, mwezi na jua vinavyotegemeana/ vilivyojipanga hilo litaendelea kutokea baada ya kipindi fulani.
   
 6. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mtoa mada nadhani umepotoka kidogo, umeunganisha mambo mawili.
  1. Jana ilikuwa ni kupatwa kwa mwezi kweli kama ulivyosema. ila kupatwa kwa mwezi ni kuwa dunia inakuwa kati ya mwezi na jua hivyo basi kivuli cha dunia huangukia kwenye mwezi ndio maana unakuwa hauna nuru. Ukianza na mwezi mchanga mpaka kuwa na full moon ni kuwa partially kivuli cha dunia kinakuwa kwenye mwezi na hutoka ili kupata full moon.

  2. Dunia hupoteza stability inapokuwa ni kupatwa kwa jua. Hapa mwezi unakuwa kati ya dunia na jua
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Thread za madras at hizi.
   
 8. d

  deezle23 Member

  #8
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ni nadra kuona lakini jana nimeshuhudia mwenye.
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mungu mkubwa
   
 10. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,382
  Likes Received: 3,141
  Trophy Points: 280
  Binafsi nilifurahi kushuhudia total eclipse kiasi kile............kwa tuliyosoma geography kwa undani basi ilikuwa furaha kushuhudia tukio km ile.................
   
 11. Sailor Boy

  Sailor Boy Senior Member

  #11
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh nililala, kwn inatokea lini tena?
   
 12. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #12
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Nilikuwa Nikiiona hiyo avata napata shauku ya kusoma kwa kutambua ukomavu wa fikara kumbe pia hua unaandika pumba
   
 13. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #13
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Where is Earth's Central gravity?
   
 14. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #14
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Na hasa utukufu huo pia hujidhihiri katika matukio kama haya ambayo binadamu hana uwezo wa kuyazuia wala kuweka chembe ya ufundi
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu unachosema
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  unatumiaga ID gani mkuu?
   
Loading...