Kupata mtaji: Njia za kitalaam

Logo

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
588
0
Hapa ndani nauliza wakuu,
Je, hivi mtu akiwa na ideas nzuri za business na hana hata chochote anaweza kupata wapi mkopo au mtaji wa kuanzisha biashara? Naombeni msaada wandugu!
 
Who Cares?

JF-Expert Member
Jul 11, 2008
3,513
2,000
MKUU...MTAJI NI NINI?...mie kwa uelewa wangu juu ya ujasiriamali..MTAJI mkubwa kuliko yote ni WAZO sahihi la hiyo biashara/ uwekezaji unaotaka kuufanya....wazo zuri au viable ndilo linalotakiwa kutekelezwa...na mabenk au financing institutions hazinatatizo katika kutoa pesa au hata rasilimali zinazoitajika kutengeneza hilo wazo au biashara kuwa halisi...jiulize maswali haya kuelewa wazo lako kama ni viable au linatekelezeka
1- umechanganua kwa kina kila gharama utazotumia au zinazohitajika kuendelezaa hiyo investment au biashara?
2- umechanganua uhai wa hiyo investment kuwa ita-ishi kwa muda gani au ndio ikianza baada ya 1 year inakufa?
3- umechanganua kuwa hizo gharama unazotumia kuanzisha huo mradi zitarudi ndani ya muda gani wa uhai wa investment?
4-umewashirikisha wataalamu wakupe changamoto au fursa wanazoziona juu ya huo uwekezaji wako...au umepata theories na live practicles za watu wanaofanya investment kama yako ili ujifunze mengi zaidi?

NA MWISHO KABISA...UNATAKIWA KUJIAMINI NA KUJIPA MUDA KIASI WA KUJIHAKIKI KAMA KWELI UNBACHOTAKA KUFANYA UPO SAHIHI... UKIJIONA UPO SAHIHI... SASA ANZA HATUA ZA KUWAONA WATU WA MIKOPO/BANK/FINANCING INSTUTIONS U-IMPLEMENT WAZO LAKO LA KIJASIRIAMALI....ni maoni tuu
 
LAT

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
4,403

mkuu ... nakubaliana na wewe 100% ... lakini mtoa mada anajiweka wazi kwamba tatizo lake ni fedha kama input even before starting business

nilivyo muelewa ni kwamba anayo good business idea .... but hana uwezo wa kuendelea kuifanyia kazi idea yake.....mkuu.... hiyo michanganuo uliyoainisha ina gharama kubwa sana kufanya study kama ya ku involve wataalamu kutengeneza business plan ... hivyo ndugu yetu anahitaji funds ili kuweza ku establish viability and ku execute the business
 
CONSULT

Senior Member
May 8, 2011
188
250
Nawashukuru sana wote, kila mmoja ana hoja ya msingi, ni kweli kwamba pana mazingira ambazo ni vigumu sana kufuata taratibu sahihi kama mr who care alivyotaja na pengine hata ukaibiwa hiyo idea akauziwa mwenye uwezo wa kuifanya, na financers nao hawawezi toa pesa bila kuhakiki viability ya investment, ushaur wangu kama ni ya nguvu sana sajili umiliki wake kwanza ndipo utafute pesa kwa kuiweka wazi au ubia.
 
Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,471
1,225

Bold: Siyo ujasiriamali huo... na hakuna biashara unayoweza kusimama pekeyako.. aongeze juhudi.. taasisi yoyote ya mikopo lazime ijiridhishe kuwa mkopaji ANA UWEZO WA KUREJESHA MKOPO. Maana yake lazima waone shughuli inayofanyika ndo wakukopeshe..
 
Nashkru sana mkuu kwa kufafanua! ukweli ndio huo hata hayo nishayafanya mengi wapo ila mshiko sasa hakuna pakuuchukulia labda alipotaka kunieleza masuala ya mikopo bank hapo nilinza kufumbua macho
 
Logo

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
588
0
Bold: Siyo ujasiriamali huo... na hakuna biashara unayoweza kusimama pekeyako.. aongeze juhudi.. taasisi yoyote ya mikopo lazime ijiridhishe kuwa mkopaji ANA UWEZO WA KUREJESHA MKOPO. Maana yake lazima waone shughuli inayofanyika ndo wakukopeshe..
WEWe ndo umenimalizia kabisaaaa:A S cry:
 
Logo

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
588
0
Nawashukuru sana wote, kila mmoja ana hoja ya msingi, ni kweli kwamba pana mazingira ambazo ni vigumu sana kufuata taratibu sahihi kama mr who care alivyotaja na pengine hata ukaibiwa hiyo idea akauziwa mwenye uwezo wa kuifanya, na financers nao hawawezi toa pesa bila kuhakiki viability ya investment, ushaur wangu kama ni ya nguvu sana sajili umiliki wake kwanza ndipo utafute pesa kwa kuiweka wazi au ubia.

Asante mkuu tena sana!
 
LAT

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
4,403
0
Bold: Siyo ujasiriamali huo... na hakuna biashara unayoweza kusimama pekeyako.. aongeze juhudi.. taasisi yoyote ya mikopo lazime ijiridhishe kuwa mkopaji ANA UWEZO WA KUREJESHA MKOPO. Maana yake lazima waone shughuli inayofanyika ndo wakukopeshe..

mkuu.... huyu ni start up na ukweli ni kwamba bank nyingi sana zinawadharau business start ups ......

vinginevyo huyu ndugu yetu anahitaji business partners to join hands ili yeye awe ame input business idea na partners watoe fedha
 
Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,471
1,225
WEWe ndo umenimalizia kabisaaaa:A S cry:
Komaaa uanzishe mradi unaozungusha hela... taasisi ndo zitakufuata na si wewe kuzitafuta... hakuna ubinadam katika biashara... hata kama unataka kufanya bishara ya mabilioni... jianglie ulipo, kubali kuanzia chini... taratibu upande juu...!! utafanikiwa tu...
 
Ignorant

Member
Mar 9, 2008
27
45
Ni kweli unahitaji kuandika business plan na mambo ya usajili ila mabenk hayatoi pesa kwa wanaoanza moja (start-ups). Ni rahisi pia kusema unaanza kwanza pale ulipo ndipo watu wakuone na kuamini kwamba wewe ni mjasiriamali lakini kuna biashara zingine lazima upate msaada wa nje ili uanze. Ndiyo maana nchi zingine kuna matajiri wanatoa pesa kwa business idea na kufanya partnerships ili idea ifanywe biashara halisi. Kwa mfumo huu wa kutegemea kila mtu aanze na kile kidogo tutaishia kuona kila mtu anaanzisha bar mtaani, chips kuku, salon na butiki (beautique)....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom