millionroses
Member
- Nov 12, 2012
- 19
- 2
habari jf doctor...nilianza kubleed tarehe 24/11/2012 na nikamaliza tarehe 28/11/2012...je ni siku gani ambayo ningeweza kupata mimba..msaada
ni rahisu ndugu yangu ongeza siku 14 tangu umeanza siku zako kwa mtoto wa kiume, na siku 15 kwa mtoto wa kike. kwa maelezo yako ya mwezi huu tegemea kupata siku ya tarehe 7- 9/12/2012habari jf doctor...nilianza kubleed tarehe 24/11/2012 na nikamaliza tarehe 28/11/2012...je ni siku gani ambayo ningeweza kupata mimba..msaada
thread closedni rahisu ndugu yangu ongeza siku 14 tangu umeanza siku zako kwa mtoto wa kiume, na siku 15 kwa mtoto wa kike. kwa maelezo yako ya mwezi huu tegemea kupata siku ya tarehe 7- 9/12/2012
Si sahihi kuhusu tarehe za mtoto wa kike na kiume. Kumbuke mbegu ya mtoto wa kiume (y) ina speed kubwa kuingia ukeni lakini inakufa mapema, lakini ya mtoto wa kike (x) ina mwendo mdogo lakini inaishi muda mrefu. Kwa hiyo kama yai litatoka siku ya 14, na akakutana na mwanaume siku hiyohiyo, uwezekano mkubwa ni kupata mtoto wa kiume. Lakini kama atakutana na mwanaume siku moja kabla, uwezekano ni mkubwa wa kupata mtoto wa kike.ni rahisu ndugu yangu ongeza siku 14 tangu umeanza siku zako kwa mtoto wa kiume, na siku 15 kwa mtoto wa kike. kwa maelezo yako ya mwezi huu tegemea kupata siku ya tarehe 7- 9/12/2012
Tafuta kifaa kinaitwa ovulation predictor kit kitakusaidia katika kujua siku nzuri za kupata mimba vifaa hivi kwa sasa vinapatikana kwenye Pharmacy nyingi za hapa mjini.Kifaa hiki ni mkombozi kwa akinadada ambao wanahitaji kupata mimba na hawajui utaratibu wa siku zao au siku zao huwa zinabadilika mara kwa mara.nashukuru kwa ushauri kidogo napata faraja maana hizo siku niliwajibika ipasavyo.....
Sasa masoud mbona unanishushua jaman...mm nahitaji msaada bana...ukoje lakin