Kupata matokeo ya uchaguzi igunga

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
1,488
908
HI JF admn, JF Team..
Nashuri, ili JF IPATE HESHMA ZAIDI, kwenye Kata 26 vijiji 98 vituo vya kupigia kura viko 427 Kule IGUNGA, tungepata wawezeshaji kwenye kila kituo au kijiji, wataotupa update za matokeo ya uchaguzi huo humu jamvini tarehe ile ile ya uchaguzi, na kisha mkatengeneza something like matokeo alert, na hii haitaishia kwa Igunga tu bali kwa Chaguzi zote zitazofuata. Watu makini kutegemea Matangazo ya Tume, yanayotoka baada ya uchakachuaji, majibizano, na amri toka kwa "ze mabosi-z" inaboa, hatujasinzia kiasi hicho..
 
idea nzuri..lakini inataka Umakini sana manake Chaguzi za Tanzania ni za TUME sio za Wananchi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom