Kupata mahali pa kufanyia field kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
474
188
Sasa ndugu zangu kama nafasi tu kwa ajili ya kufanya field ili kuipata nimehonga pesa, sasa je kupata kazi itakuwaje?? Hebu funguka mwenzangu.
 
watu wa aina yenu ndio mmefikisha nchi hapa ilipo kwasababu hakuna rushwa kama hakuna mtoa rushwa.
 
wale wote mnaotoa rushwa kupata field au kazi au hakiyako yoyote.Kwangu wewe hujaelimika unacheti ila huna hujuzi usipobadilika nao utaishia kupata vitu vya dhuluma tu.Jitafakari upya matendo
 
Ndio mnajiita vijana wakomboa nchi huku mnakubaliana na rushwa!! Mabadiliko na maendeleo yanaanza na wewe!!
 
wale wote mnaotoa rushwa kupata field au kazi au hakiyako yoyote.Kwangu wewe hujaelimika unacheti ila huna hujuzi usipobadilika nao utaishia kupata vitu vya dhuluma tu.Jitafakari upya matendo

Mi sina HUJUZI mbona??
 
daa hii mbona kawaida mm kuna kampuni nilitoa laki moja.....

Wewe ni mdhaifu hata nikiona CV yako unatafuta kazi kwenye Kampuni yangu naichanachana.Haki ni ya kwako kufanya field kwa nini utoe rushwa.Kama unaweza kutoa rushwa mapema hivi hata hujaanza kazi ukianza je.Ujue mtoa rushwa ni sawa na mpokea rushwa.
 
Hebu niPM unitajie jina la company na huyo jamaa na wadhifa wake hapo kwenye hiyo company
 
Back
Top Bottom