Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas, Ze Comedy na One Man Shows!

Sheiza, kwenye tukio lolote la kihabari, time is very important, sina tatizo kabisa na Rais wa JMT kufuatilia utekelezaji wa maagizo yake, ninachopinga mimi ni dramatising utekelezaji huo. Hayo makontena ya mchanga yako hapo siku nyingi, hizo conteners na magari zimeingia mwezi February na Mmiliki wake aliishakamatwa anakaribia kutimiza mwezi mzima mahabusu ya polisi bandari, kitendo cha kumuita rais aje ndio wajifanye wamekamata ni kufanya drama na haki za watu!, hata wahalifu wana haki zao. Standard time ya kukamatwa bila kufikishwa mahakamani ni 24 hrs. Mtu kukamatwa tangu tarehe 4/3 na kushikiliwa tuu hadi rais atakakapo pata muda kuja kufanya ziara ya kushtukiza ndipo Containers zifunguliwe! .

Kumtumia rais wetu kufanya maigizo ya ziara za kushtukiza kukamata mizigo iliyokaa bandarini miezi na miezi ili tuu kuonyeshea, sio jambo jema
Paskali
Sijakuelewa kwa hiyo ulitaka rais aende mwezi February huo huo..we hujamjua magufuli..magu hapangiwi cha kufanya ndio maana ni ngumu kumchezea sinema..swala la mtu kushikiliwa ni jingine na swala la makontena ni jingine..usichanganye habari..
 
Sheiza, moja ya matatizo makubwa kabisa ya Taifa letu na sisi Watanzania ni kutokuukubali ukweli jinsi ulivyo. Watu hawapendi kuambiwa jinsi ile ukweli ulivyo!.

Kwenye tukio lile tumeelezwa kuwa rais kafanya ziara ya kushtukiza Bandarini DSM na kukamata Containers 20 za mchanga was dhahabu na magari yaliyofichwa kwenye conteiners.

Tukio limekuwa staged kuonyesha hadi kufunguliwa kwa seals za TRA!. Ukweli ni kuwa conteiners za mchanga ziko hapo kitambo. Kontena za magari zimeingia February zikafunguliwa, wakaona kilichomo na mhusika akakamatwa na hadi sasa yuko mikononi mwa polisi.

Kisha kufunga, kuweka seal nyingine, kumuita rais kufanya ziara ya kushtukiza na
Kufungua tena seal mbele ya rais na kujifanya ndio wanafungua na kushtuka! .

Kumtumia rais wetu kufanyia maigizo sio matumizi mazuri ya muda wa rais wetu! .

Tanzania hatuhitaji utendaji wa usanii wa maigizo.

Paskali
 
Wanabodi,
Sisi Wana mitandao tumeshauriwa kuitumia mitandao kulisaidia taifa letu kuendelea, hivyo huu ni ushauri wangu.

Ili Tanzania tuendelee tunahitaji kujenga Taasisi Imara zenye an effective systems, yaani kujenga mifumo imara ambayo inakuwa automated, ikitokea kuna jambo lolote haliko sawa, the system ita detect na hivyo kuwa ejected out of system.

Hatuhitaja sanaa za maonyesho ya drama na the comedy za one man show just to make believe something is being done!.

Hatuhitaji sanaa za maonyesho za maigizo ya utawala bora na maonyesho ya drama za utawala kupitia maigizo ya ziara za kushtukiza!.

Ziara za Kushtukiza Vs Maigizo ya Ziara za Kushtukiza.
Kuna ziara za kweli za kushtukiza na kuna maigizo ya ziara za kushtukiza. Ziara za kweli za kushtukiza hufanyika kwa kushutikiza kweli, no one knows, lakini maigizo za ziara ni pale wahusika wanaambiwa, media inaambiwa ili watu waone!. Mfano kontena zimekamatwa, scanner zimeonyesha kilichomo, mdani, zimefunguliwa kujiridhisha kilichomo, kisha zinarudishiwa, zinafungwa tena, zinawekwa seals mpya, kisha rais anaitwa kuja kushutukiza, na zinafunguliwa mbele ya rais na media ikishuhudia.

Igizo la Ziara ya Kushtukiza Jana Pale Bandarini.

Ni wajinga tuu ndio wataamini kuwa rais Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza hivyo kubaini contena 20 za mchanga wa dhahabu na contena zilizoficha magari ya kifahari ili tuu kuonyesha rais wetu is doing something!.

Kilichotokea.
Kusafirisha containers is a process, by the time rais anapiga marufuku kusafirisha mchanga wa dhahabu, tayari consignment iliishakuwa processed on transit na kuna mizigo iliishafika bandarini na kwenye ICDs, hapo bandarini, hivyo kupitia tangazo la marufuku ya rais, likapelekea hizo consignment zote zisimamishwe na kuzuiliwa bandarini. Sasa kujidai kukamata kitu kilichohifadhiwa na kuzuiliwa kihalali kabisa ni usanii!.
Containers za Mitumba Kumbe Magari!.
Zile contena za magari zilizoandikwa mitumba, zote ziliwasili nchini mwezi February zilipitishwa kwenye scanners na kilichomo ndani kuonekana ni tofauti na kilicho kuwa declared kwenye the bills of landing. Mmiliki wa mzigo huo ni Ramadhani Mussa Hamisi Ukwaju ambaye ameisha kamatwa siku nyingi, containers zake zikafunguliwa mbele yake, na yuko kwenye mahabusu ya Polisi Bandari tangu tarehe 4 ya mwezi huu kwa Kosa la kuhusika na mzigo wa magari ya kifahari yaliyoingizwa nchini kama nguo za mtumba, toka alipokamatwa hiyo tarehe 4 mpaka leo, bado hajafikishwa mahakani ili tuu kusubiria mpaka rais apate nafasi aje afanye ziara ya kushtukiza huku mhusika akiozoea jela. Standard time ya mtu kufikishwa mahakamani ni 24 hrs! . Mtu kukamatwa tangu tarehe 4 hadi leo bila kufikishwa mahakamani ili kutengeneza igizo la kukamatwa hizo containers!. Kisha rais anakuja, wanaweka seal nyingine na kufungua upya!.
Ni Mchanga Au Makinikia?Scanners zimeishaonyesha katikati ya mchanga, kuna ama kuna mawe ya dhahabu unprocessed , ama ni makinikia ya dhahabu na sio mchanga kama unavyoitwa, jina la mchanga ni jina tuu baada ya kukosekana Kiswahili cha makinikia, containers hizo zilipokelewa bandarini siku nyingi nyuma na process iliisha anza kabla ya katazo la rais, hivyo rais kaelezwa ni mchanga, scanner zinaonyesha ni makinikia, hivyo siku zinafunguliwa rais ataitwa tena tuonyeshwe jinsi tunavyoibiwa!. Yaani kila kitu kinajulikana, kisha rais wetu anaitwa kuja kushtukiza akiandamana na media, na kesho yake ndio headlines, but very unfortunately kwa igizo la jana haliku attract much attention front kwa sababu kulitokea tukio kubwa zaidi, more news worth kuliko igizo lile.

Drama na Igizo za Ziara ya Kushtukiza.
Baada ya hayo kubainika, daily report ilionyesha lakini ikaamuliwa kusichukuliwe hatua zozote bali mkuu wa nchi aarifiwe kwanza, kisha ipangwe ziara ya kushtukiza halafu ndipo hayo yaonekane yamebainishwa na ziara hiyo ya kushtukiza. Everything was a premeditated events but it was well snagged kuonekana ni issue kubwa, hivyo sometimes hata sterling kwenye movie hulazimika kufanya take two or take three.

Shows za Ze Comedy.
Kumuita Mkuu wa nchi kufanya ziara za kushtukiza katika tukio lililopangwa na kisha kufungua zile seals za yale makontena mbele ya rais huku akishuhudia na ku act kushangaa, kuwa ndio wamebaini hayo magari ya kifahari, ili tuu kuuaminisha umma kuwa ni ziara hiyo imebainisha hayo, ni kupoteza muda wa thamani wa rais wetu. Hivi sio vitu vya kulisaidia taifa letu. Tusifanye vitu ili tuu watu waone!. Viongozi wetu wasitumie media kufanyia maonyesho ya utekelezaji wa majukumu yao.

What are Priorities Zetu ?. Tanzania ni nini vipaumbele vyetu? .
Taifa linakabiliwa la viongozi wasio na na vision ya ni nini vipaumbele vyetu, Tanzania ni nini tunataka na tutapataje. Kama hujui unachotaka, huwezi kutafuta maana huna unachotafuta!, ukiishajua unataka nini, ndio unajipanga utapataje na njia za kutafutia!. Ukiisha kosa vision, huwezi kuwa na mission ya unatekeleza nini, hivyo tumekuwa ni nchi ya kuendeshwa na matukio. Nchi inakabiliwa na sitofahamu nyingi, kuna kiongozi amefoji vyetu, kuna kiongozi amefanya tukio la ugaidi, kuna waziri anatimiza wajibu wake kwa waledi, anatumbuliwa, halafu mkuu wetu wa nchi anakwenda kufanya igizo ziara ya kushkiza bandarini! .
What to Do. A Way Forward
Serikali yetu, kila wizara, kila idara lazima zile na mission na vision, accompanied by the list ya Strategic Objectives ambazo ziko SMART. Pia ziwepo communication strategy ya utekelezaji hizo smart objectives, hivyo viongozi wajitokeze kutueleza na kutuonyesha achievements ya utekelezaji malengo na sio kutufanyia dramas za make believe.
Mitandao
Mfano tunahubiri kuhusu Tanzania ya viwanda, where is the blue print zenye short term, medium term na long term strategies?. Ili tuwe na Tanzania ya viwanda tunahitaji land, where is the land set out kwa Tanzania ya Viwanda. Tunahitaji labor, jee tumeishajua tutajenga viwanda gani ili hiiyo mainpower ya labor force kuvihudumia hivyo viwanda itayarishwe?. Tunahitaji capital ya kuanzisha hivyo viwanda, kuna strategies gani kuwawezesga Watanzania kuimiliki Tanzania ya Wiwanda, au tunatakan kujenga Tanzania ya viwanda vya Mchina, Mhindi na Mzungu, na Mtanzania kuja kuwa ni kibarua tuu kwenye Tanzania ya Viwanda kama ilivyo kwenye Uchumi wa Gesi?. Tamzania ya viwanda itahitaji malighafi ya viwanda, uchumi wa Tanzania unategemea kilimo, hivyo the the biggest industries za Tanzania ya Viwanda ni agro processing industries, jee tuna mikakati gani ya kuinua sekta ya kilimo, kutoa malighafi ya viwanda?, au tunajenga Tanzania ya viwanda kama viwanda vya Bhakressa, vinatengeneza jiuces na unga, lakini malighafi zote zinatoka nje!, hadi pulp ya mango juice tuna import, huku maembe Lushoto yakiozea mitini!. Tangu tumeanza kuhubiri wimbo wa Tanzania ya Viwanda, tuko wapi, tumefanikisha nini? , tumekwama wapi and what is a way forward? . Badala ya kuwahimiza ma bullies,impersonators na forgerists kuchapa kazi, tupewe matokeo ya hizo kazi zinazochwapwa, watu wanataka matokeo, na sio tuu kupokea maagizo na vitendo vya kuona sifa kutokelezea tuu kwenye TV, tujikite kwenye utendaji unaozingatia matokeo, na sifa zisiwe katika kutoa maagizo, bali katika matokeo ya utekelezaji.

Tuanze ku demand kuonyeshwa results oriented events nini kilichofanyika na sio kututengenezea maigizo ya matukio.

Nakamilisha taratibu za kurusha Vipindi Maalum vya "Kwa Maslahi ya Taifa" ambavyo vitaangazia nini kimefanyika, nini kifanyike kuitoa Tanzania hapa ilipo kwenda kwenye Tanzania tunayoitaka.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
pascali umenikuna haswa sisi wenye taaluma ambazo ni result oriented huwa tunawashangaa wanasiasa.

unaimba viwanda bila kuandaa urban infrastructural planning au bila kuanza na review ya masterplan
 
Yaani wew tumia akili kabla hujaandika hizi comment zako. Hata kama ni drama kama unvyodai wewe, kipindi cha nyuma so mizigo ilikuwa ikipita hapo bandarini pamoja na kuwa na scanner. Atleast sasa hivi tangu JPM aingie madarakani mambo yote ya kijinga yameisha hapo bandarini au mshasahau. Sasa kama huo mchanga umezuiliwa mda nani ameinitiate hivyo vitu? Tumia akili kabla hujapost. Leo hii tz hatuongelei ufisadi, ghost workers, uwajibikaji mmbovu etc. Hivi vitu vilikuwa vya kawaida sana. We have give our pres a credit. Eti drama? You must be sick.
why so furious?

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Pasco ndio tunataka vitu kama hivi sio kujipendekeza kwa watumia vyeti vya kugushi
 
Pascal we ni senior journalist..kama pascal mayalla kweli..naamini una uwezo mkubwa wa kudadavua na kuielewa taarifa..ila hii taarifa yako IPO chini sana..
Unaweza ukaingia millardayo.com uifatilie taarifa vizuri..ili uwasaidie na wengine ambao hupokea kila andiko.
 
Wanabodi,
Sisi Wana mitandao tumeshauriwa kuitumia mitandao kulisaidia taifa letu kuendelea, hivyo huu ni ushauri wangu.

Drama na Igizo za Ziara ya Kushtukiza.
Baada ya hayo kubainika, daily report ilionyesha lakini ikaamuliwa kusichukuliwe hatua zozote bali mkuu wa nchi aarifiwe kwanza, kisha ipangwe ziara ya kushtukiza halafu ndipo hayo yaonekane yamebainishwa na ziara hiyo ya kushtukiza ili ionekana kama ni ziara ya kushukiza ya rais ndio imebaini hayo!. Everything was a premeditated moves, but it was well staged kuonekana ni issue kubwa, lakini ndio hivyo tena, sometimes hata sterling kwenye movie huwa ana bugi step na hulazimika kufanya take two or take three!. Jana kwenye media Nape ndio alikuwa sterling!.

Shows za Ze Comedy.
Kumuita Mkuu wa nchi kufanya ziara za kushtukiza katika tukio lililopangwa na kisha kufungua zile seals za yale makontena mbele ya rais huku akishuhudia na ku act kushangaa, kuwa ndio wamebaini hayo magari ya kifahari, ili tuu kuuaminisha umma kuwa ni ziara hiyo imebainisha hayo, ni kupoteza muda wa thamani wa rais wetu. Hivi sio vitu vya kulisaidia taifa letu. Tusifanye vitu tuu ili watu waone!. Viongozi wetu wasitumie media kufanyia maonyesho ya maigizo ya utendaji kazi, au utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku!.

Tuanze ku demand kuonyeshwa results oriented events nini kilichofanyika na sio kututengenezea maigizo ya matukio.

Nakamilisha taratibu za kurusha Vipindi Maalum vya TV vitakavyoitwa "Kwa Maslahi ya Taifa" ambavyo vitaangazia nini kimefanyika, nini kifanyike kuitoa Tanzania hapa ilipo kwenda kwenye Tanzania tunayoitaka.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Nimelikumbuka hili bandiko kufuatia lile igizo la mabango jana pale Sheikh Amri Abed, kiukweli igizo lilile lilipendeza!. Mabango yote tarajiwa yaliandikwa kwa font moja, tena na pro, na yote yaliwekwa sehemu moja, watu wenye mabango ya same font eneo moja, ila Munga akasaidia, pia baadhi ya mabango ya kweli pia yakapata fursa!.

Naendelea kusisitizo wito wangu kwa bandiko hili, hizi sanaa za maigizo, hazitalisaidia taifa hili!, maigiza kama haya, yanaweza kuzaa matunda maeneo kama kule kwetu Usukumani, ambako kwenye ma illiterates wa kutosha na umasikini uliotopea!. Namuunga mkono Rais wetu, John Pombe Magufuli, Madiwani wote waliojitoa Chadema ndio wasimamishwe kwenye uchaguzi wa marudio, ili sasa tupime matokeo ya effectiveness ya sanaa za maigizo kwenye siasa, ili tuheshimiane!.

Tanzania ya sasa inahitaji real politics na sio hizi siasa za maigizo!. Amini nawaambie, kama Watanzania wote wa mikoa yote wangekuwa na mamkwa kama ile mikoa wanaojielewa!, saa hizi, ingekuwa siku nyingi!. Kiukweli ujinga, yaa ignorance na umasikini uliotopea ni mtaji mzuri sana kisiasa!.

Paskali
 
Ila drama ya jana bandarini ilikuwa ya kitoto sana. Kwa kutumia CT Scan hata mgambo wa kawaida mwenye mafunzo angeweza kukamata yale magari lakini eti akaenda kukamata raisi wa nchi. Tatizo sana kuongozwa na IQ ndogo maana wanapotunga drama zao wanafikiri wote tuna uelewa sawa

Drama pekee wanayoshindwa kutengeneza ni ya kuwa na viwanda
 
Magufuli is the best president ever. Pigeni majungu yeye anapiga Kazi, mwisho wa siku wananchi wote tunachotaka ni kazi ambayo kiukweli anaifanya vilivyo. Nyie pigeni kelele mpaka mchoke sisi ndio tunazidi kumkubali.
Anapiga kazi mwenyewee kwa kuwa anayo .je sisi raia ? Ziko wapi hizo kazi tuzichape !!??
 
Yaani wew tumia akili kabla hujaandika hizi comment zako. Hata kama ni drama kama unvyodai wewe, kipindi cha nyuma so mizigo ilikuwa ikipita hapo bandarini pamoja na kuwa na scanner. Atleast sasa hivi tangu JPM aingie madarakani mambo yote ya kijinga yameisha hapo bandarini au mshasahau. Sasa kama huo mchanga umezuiliwa mda nani ameinitiate hivyo vitu? Tumia akili kabla hujapost. Leo hii tz hatuongelei ufisadi, ghost workers, uwajibikaji mmbovu etc. Hivi vitu vilikuwa vya kawaida sana. We have give our pres a credit. Eti drama? You must be sick.
Ataa kama ni drama hamna shida kwako sio !!?? Maana umesema hivyo wewe mwenyewe .sio bure inawezekana wewe ni mmoja unae nufaika na kupanga drama .so haishangazi kutetea ,shame on you
 
Nimelikumbuka hili bandiko kufuatia lile igizo la mabango jana pale Sheikh Amri Abed, kiukweli igizo lilile lilipendeza!. Mabango yote tarajiwa yaliandikwa kwa font moja, tena na pro, na yote yaliwekwa sehemu moja, watu wenye mabango ya same font eneo moja, ila Munga akasaidia, pia baadhi ya mabango ya kweli pia yakapata fursa!.

Naendelea kusisitizo wito wangu kwa bandiko hili, hizi sanaa za maigizo, hazitalisaidia taifa hili!, maigiza kama haya, yanaweza kuzaa matunda maeneo kama kule kwetu Usukumani, ambako kwenye ma illiterates wa kutosha na umasikini uliotopea!. Namuunga mkono Rais wetu, John Pombe Magufuli, Madiwani wote waliojitoa Chadema ndio wasimamishwe kwenye uchaguzi wa marudio, ili sasa tupime matokeo ya effectiveness ya sanaa za maigizo kwenye siasa, ili tuheshimiane!.

Tanzania ya sasa inahitaji real politics na sio hizi siasa za maigizo!. Amini nawaambie, kama Watanzania wote wa mikoa yote wangekuwa na mamkwa kama ile mikoa wanaojielewa!, saa hizi, ingekuwa siku nyingi!. Kiukweli ujinga, yaa ignorance na umasikini uliotopea ni mtaji mzuri sana kisiasa!.

Paskali
Hivi huwa najiuliza ni kweli kwamba ili kumuunga mkono rais lazima urudishe kadi ya Chadema?Ktk nchi kuna watu wanapinga juhudi za rais?Ile ni shughuli ya jeshi Polepole kupokea wanachama na hali CDF aliwaambia wasiingize siasa jeshini,kauli ya CDF na kilichotokea baadaye kinatoa tafsiri gani?
 
Mkuu Pascal Mayalla
Haya maneno yako yanaishi na pia watu wanakujua wewe ni mtu wa aina gani.

Kuongozwa na maigizo pia ni huku kuwaita wamama wote waliozalishwa na kukimbiwa. Wakati kuna vyombo vya kushughulikia hayo
Na kwenye hilo umemuunga mkono kwenye igizo lake hilo

Alishaigiza maigizo mengi huko nyuma na alifeli

1. Aliwaita vijana wasiokuwa na ajira na akaahidi kuwapa ajira lakini akashindwa kabisa hata kuwatafutia ajira watu wa5 tuu.

2. Alienda ubongo kwenye mgomo wa madereva wa magari makubwa na kudai atatatua matatizo yao. Hadi leo mambo waliyokuwa wanalalamikia madereva hayajafanyiwa kazi. Kuanzia ajira za kudumu zitakazo wahakikishia pensheni uzeeni hadi bima za afya.

Na MUIGIZAJI huyu ndo unampigia chapuo 2025.

Kwangu mtu ambae anaetufaa ni yule anaejenga 'strong institutionals' badala ya kuwa 'one man show'

WOTE WAWILI MAGUFULI NA MAKONDA WAMESHINDWA HAYO NA HAWATAWEZA SABABU YA VIBURI VYAO
 
Sherehe ya kutimiza mwaka moja kwa mada hii .vipii Pascal huna semaji leo April 2018 ?
 
Back
Top Bottom