Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,172
- 34,277
kati ya sindano, vidonge vya majira na vijiti ipi ni njia sahihi ya uzazi wa mpango? Samahan swali la nje ya madaKama utakuwa umeona siku zako, na yai likapevuka Ni lazima mimba itungwe.
kati ya sindano, vidonge vya majira na vijiti ipi ni njia sahihi ya uzazi wa mpango? Samahan swali la nje ya madaKama utakuwa umeona siku zako, na yai likapevuka Ni lazima mimba itungwe.
kati ya sindano, vidonge vya majira na vijiti ipi ni njia sahihi ya uzazi wa mpango?? Samahan swali la nje ya mada
ni ipi hiyo? Haina madhara? Naskia ukiweka kijiti ukitaka kutoa hadi wakupige xray wakitafute kilipo? What are its side effects?Ile ya kufunga kitanzi ndio mpango mzima
ni ipi hiyo? Haina madhara? Naskia ukiweka kijit ukitaka kutoa had wakupige X ray wakitafute kilipo? What are its side effects?
huh? Anafanyiwa op? Ngoja niendelee kusubiria majibu mengine mkuu hata hivo umenitoa tongotongo barikiwaHiyo wanawawekea kiwaya wanakiita kitanzi ndani. Kazi yake ni kuzuia mbegu zisiende kukutana na yai. Ukitaka mtoto kinatolewa.
Nilipendekeza hicho kwa mamsap kwakuwa hakina madhara sana ikija mambo ya hormone.
Hizo nyingine kama kijiti, vidonge n.k vikikukataa inawezaleta mabadiliko makubwa sana.
Wataalam wataelezea zaidi.
Ni kweli kabisa, mi mwenyewe Ni muhanga wa hilo swala sikuwahi pata siku zangu, ila saa hizi nina mimba miez 6 na mtoto wa mwaka mmojaUnaweza kupata mimba dada, kuna mmama alibeba mmba miez 3 baada ya kujifungua ( hakuwahi kuona hedhi) na alishituka baada ya mtoto kuanza kucheza tumboni, lakini pia wapo hadi waachishe mtoto ndo waone hedhi na mimba hawaoati
Ni Kwamba hakuna yai linaloweza kupevuka kabla ya kuona siku zako tangu ulipojifungua. Hakuna mechanism hivyo.
Naogopa sasaMi ilikuwa hivyo hivyo nilinyohesha mwaka na miezi 8 bila bleed nikiuliza watalam wananiambia siwezi pata mimba hadi nione siku zangu,lakini mtoto kufikisha miaka 2 nilipata wasiwasi kupima imo na mtoto alikuwa bado ananyonya.
Good girlUnanyonyesha sana ndio maana hupati period. Na wataalamu wanasema breastfeeding nayo ni njia moja wapo ya birth control (wanisahihishe kama nimekosea). Ila cheza kwa step
UPT zipo dukani. Ni Over the Counter Rapid Test. Cheki kesho asubuhi kwa kutumia mkojo wa kwanza wa asubuhi.king otaligamba asante japo nina kahofu eti yai likipevuka na kukutana na mbegu ya kiume ndani kwa ndani si nitapata mimba au vipi daktari wangu.
Unaweza pata mimba muda wowote kuanzia sasa. Be careful kama hutaki kupata ujauzito sasa ivi.. Kwa sababu yai linaweza kupevuka muda wowote limove to fallopian ambapo likikutana na mbegu ya kiume hapo hapo litarutubishwa na apo utapata ujauzito tena na endapo halitakutana na mbegu ya kiume litadissolve baada ya masaa 24 na apo ndo utapata hedhi yako..Wasalaaam.
Ni miezi 9 sasa toka nijifungue mtoto wangu. Sasa sijawahi kubleed kabisa.. Na nimeishia Hoff inside nikapata mimba jamani maana naendelea kukutana na mwenzangu kwa tendo la ndoa kila Mara.
Je mimba haiwezi kujitungia ndani kwa ndani jamani..!! Asante
Mkuu atakuwa wa 6.Unaweza pata mimba muda wowote kuanzia sasa. Be careful kama hutaki kupata ujauzito sasa ivi.. Kwa sababu yai linaweza kupevuka muda wowote limove to fallopian ambapo likikutana na mbegu ya kiume hapo hapo litarutubishwa na apo utapata ujauzito tena na endapo halitakutana na mbegu ya kiume litadissolve baada ya masaa 24 na apo ndo utapata hedhi yako..
Kila la heri mkuu kuongeza mtoto wa pili
Hapa tueleweshe zaidi.Ni Kwamba hakuna yai linaloweza kupevuka kabla ya kuona siku zako tangu ulipojifungua. Hakuna mechanism hivyo.