Kupata damu ya uzazi mpaka miezi 2 ni tatizo?

mataka

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
286
61
Habari zenu wana jf, ninaomba msaada wenzangu, mke wangu anaendelea kupata damu ya uzazi huu ni mwezi wa pili toka ajifungue, ingawa inatoka kidogodogo. Je hii ni hali ya kawaida au atakuwa na tatizo?

===
Kuna kitu inaitwa lochia, ambayo ni maji maji yatokayo kupitia uke baada ya kujifungua. Hii huchukua kuanzia wiki tatu mpaka sita na stage zake. Siku ya kwanza mpaka sita huwa mekundu(reddish) siku ya sita mpaka kumi huwa pink in color na baada ya hapo huwa whitish or yellowish-white. Yanatakiwa yasiwe na harufu mbaya kwani ni dalili ya uambukizo. Sasa wa kwako mwezi wa pili bado ni reddish! Kuna tatizo jingine, nenda hospitali.
 
alijifungua kwa operation?

Anafanya kazi ngumu?

Possible, ila kama una wasi wasi mrudishe hospitali.
 
yes alijifungua kwa operation kazi anazofanya kufua pia ananyanyua ndoo ya maji?
 
Kuna kitu inaitwa lochia, ambayo ni maji maji yatokayo kupitia uke baada ya kujifungua. Hii huchukua kuanzia wiki tatu mpaka sita na stage zake. Siku ya kwanza mpaka sita huwa mekundu(reddish) siku ya sita mpaka kumi huwa pink in color na baada ya hapo huwa whitish or yellowish-white. Yanatakiwa yasiwe na harufu mbaya kwani ni dalili ya uambukizo. Sasa wa kwako mwezi wa pili bado ni reddish! Kuna tatizo jingine, nenda hospitali.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom