Kupata damu ya uzazi mpaka miezi 2 ni tatizo?


M

mataka

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Messages
286
Points
225
M

mataka

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2011
286 225
Habari zenu wana jf, ninaomba msaada wenzangu, mke wangu anaendelea kupata damu ya uzazi huu ni mwezi wa pili toka ajifungue, ingawa inatoka kidogodogo. Je hii ni hali ya kawaida au atakuwa na tatizo?
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,073
Points
1,500
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,073 1,500
alijifungua kwa operation?

Anafanya kazi ngumu?

Possible, ila kama una wasi wasi mrudishe hospitali.
 
M

mataka

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Messages
286
Points
225
M

mataka

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2011
286 225
alijifungua kwa operation?

Anafanya kazi ngumu?

Possible, ila kama una wasi wasi mrudishe hospitali.
yes alijifungua kwa operation kazi anazofanya kufua pia ananyanyua ndoo ya maji?
 
Nyalotsi

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Messages
5,900
Points
2,000
Nyalotsi

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2011
5,900 2,000
Kuna kitu inaitwa lochia, ambayo ni maji maji yatokayo kupitia k.uma baada ya kujifungua. Hii huchukua kuanzia wiki tatu mpaka sita na stage zake. Siku ya kwanza mpaka sita huwa mekundu(reddish) siku ya sita mpaka kumi huwa pink in color na baada ya hapo huwa whitish or yellowish-white. Yanatakiwa yasiwe na harufu mbaya kwani ni dalili ya uambukizo. Sasa wa kwako mwezi wa pili bado ni reddish! Kuna tatizo jingine, nenda hospitali.
 

Forum statistics

Threads 1,295,168
Members 498,180
Posts 31,202,138
Top