Kupata D ya General Studies ni ngumu kuliko A ya physics

Kweli wewe ni bonge la Alosto.
yaani somo ambalo ata ukisoma magazeti na kukodolea TV tu unafaulu ndo unasema ni gumu!
Kwa hali hii ni halali vyerehani vinne viunde kiwanda.
Umemaliza mwaka gani na umepata alama ipi?
 
Nilipata S sifahamu ni ya ngapi ila nachokumbuka mwalimu wetu kwa hilo somo alikuwa ni mkuu wa shule na alikuwa akijifanya yuko busy hivyo alifundisha vipindi viwili tu kwa muda wote wa miaka miwili tulokuwa shule.
Ila darasa letu hakuna mtu alofeli hilo somo.
Ungemaliza miaka ya ivi karibuni ungeelewa nachokimaanisha
 
Kweli wewe ni bonge la Alosto.
yaani somo ambalo ata ukisoma magazeti na kukodolea TV tu unafaulu ndo unasema ni gumu!
Kwa hali hii ni halali vyerehani vinne viunde kiwanda.
Hahahaaaaa, mkuu ume piga mulemule,, kama ni mbulula huambui kitu maana ina hitaji ujue mambo ya jamii kwa upana asee,,, na ujue kweli, sio ukariri event
 
Kwel sijaona A ya GS mwaka huu...somo lolote la maelezo sio rahisi kulifaulu linaconcept kibao mpaka umushawish msahihishaji akupe marks nying ni kaz..ndo maana ma T.O Mara nying ni PCM au PCB ...jiulize kwanin hakunaga TO wa HKL,HGK,KLF,HGL...kupata A ya kiswahili ni kaz ingawa ni lugha ya taifa
 
PCM na PCB ndo comb wanazo soma watu wenye uwezo Mkubwa darasani usitegemee T.O kutoka Hkl,HGK
 
Kwel sijaona A ya GS mwaka huu...somo lolote la maelezo sio rahisi kulifaulu linaconcept kibao mpaka umushawish msahihishaji akupe marks nying ni kaz..ndo maana ma T.O Mara nying ni PCM au PCB ...jiulize kwanin hakunaga TO wa HKL,HGK,KLF,HGL...kupata A ya kiswahili ni kaz ingawa ni lugha ya taifa
TO anatoka huko kwenye PCM maana ndio vichwa vinakuwa huko
 
Na hili ndio jibu sahihi
Sikia mkuu TO anatoka PCM kwa sababu ayo masoma ni mahesabu tu ,na ukipata jibu ni hilo hilo na marks wanakupa kama ilivopangwa ....tofauti na masomo ya kujieleza ambapo kila mtu anamaelezo yake ,kumshawish msahihishaji akupe marks zote ni ngumu ...ndo maana kupata A ya math,phyz, ni rahis kuliko kiswahili,history,language....kiufupi math ,phyz,chem ,bios...ni masomo ya kukalili na kuhamishia kwenye mtihan ....ukiweza ivo utachora A za maana ...ila aya wengine ni maelezo
 
Nilipata S sifahamu ni ya ngapi ila nachokumbuka mwalimu wetu kwa hilo somo alikuwa ni mkuu wa shule na alikuwa akijifanya yuko busy hivyo alifundisha vipindi viwili tu kwa muda wote wa miaka miwili tulokuwa shule.
Ila darasa letu hakuna mtu alofeli hilo somo.
TV na magezi hukodolea?
 
Back
Top Bottom