zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 10,140
- 21,449
hao milioni kina nani? hawa walio ishia kuwa waalimu huku hkl akiwa afisa utumishi wao.HKL, ndo maana mnapokea mshahara laki 5 na mwenzio million na wote mna degree hiyo hiyo moja, unataka ufananishe Physics na Mofimu yako Sio? Form 1 na 2 si darasa zima mlikuwa Science kipi kiliwafanya baadae ukajikuta upo HKL? Jifunze kukubali vitu vilivyo wazi hata kama havikufurahishi. Tchaoo
haiwezekani watu wote wakawa wanasayansi (tanzania wanasayansi wachache hata 20 hawafiki) mliobaki mnajivunia kukariri mavitabu ya sayansi ila hamna chochote.