Kupata D au E ya physics A level ni kazi kubwa kuliko kupata degree ya biashara au ya arts, je ni kweli?

Leo nimepata sabb ya kwa nini nilipata F ya physics 2013 (PCM). Nilijiona mjinga sana ikabidi nikasome tu Biashara kwa hasira na sikuwahi fatilia kabsa why nilifail.

Asante kwa kunipa sababu
 
Bugando waligundua bakteria anaitwa "Enterobacter bugandensis".. kuhusu fani zingine sifahamu, kwahyo usipondee tu, sio wote ni bongolala kama unavotaka kumaanisha
 
Aisee kuna ukweli flani hapo, Physics sio mchezo, Hata ukiangalia mifano ya O-level kwenye mitihani mock ya masomo ya biashara(bookeeping na commerce) ukifuatilia ufaulu wake kwa shule nyingi utakuta wanafaulu kuliko hata kiswahili, Lakini njoo kwenye Physics yaani zile 'F' unaweza kuzani za gender ya "FEMALE" kumbe ni marks!
 
Ni vema ungesoma na wewe ili ujue wanafanya nini huko mashuleni nina wasiwasi na afya ya ubongo wako..
Hospital unatibiwa na wafanya biashara?
TANESCO wamejaa wanasheria?
Viwanda vinaendeshwa na Walevi?
Migodini madini yanachimbwa na wehu kama wewe?
Usiposoma Science ndio unashindwa kufikiria kabisa daah!
Umemjibu vizuri sana
 
ya kazi gani? ama badae niibuke na mabandiko ya kujisifia ujinga ili hali kichwani mweupe
HKL, ndo maana mnapokea mshahara laki 5 na mwenzio million na wote mna degree hiyo hiyo moja, unataka ufananishe Physics na Mofimu yako Sio? Form 1 na 2 si darasa zima mlikuwa Science kipi kiliwafanya baadae ukajikuta upo HKL? Jifunze kukubali vitu vilivyo wazi hata kama havikufurahishi. Tchaoo
 
ya kazi gani? ama badae niibuke na mabandiko ya kujisifia ujinga ili hali kichwani mweupe
Lile paper nilililishika nikalicheck ilikuwa balaa zito, kwa jinsi nilivyojipima lile paper B nisingepata asee. Shughuli ile
 
Back
Top Bottom