Nimekumbuka mbali sana wakati nipo chuo kikuu cha taifa nafanya zangu degree ya biashara.
Majamaa waliosoma pcm walikuwa wanapasua sana na kuona mambo marahisi huku wengi wao hawasomi sana chuo
Kuna mmoja wapo alikuja na hoja kwamba physics ya a level ina mambo mengi ya ku cover kuliko b com degree nzima..
Wakasema topic moja ya physics tu ina vitu vingi kuliko corse nzima ya b com kwenye semester.. ndio maana wao hawasomi sana chuo ila wanapasua tu
Leo nimekumbuka hoja yao baada ya dogo kuniomba masaada nimnunulie baadhi ya vitabu vya a level. Nimeenda madukani hayo mavitabu tu. Nimekumbuka enzi zile chuo hoja za wana science nikaanza kucheka mwenyewe.
Je wale mliosoma pcm a level na degree za biashara humu.. je ni kweli physics ni ngumu kuliko degree nzima ya business?