Kupata D au E ya physics A level ni kazi kubwa kuliko kupata degree ya biashara au ya arts, je ni kweli?

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
1,994
2,000
ya kazi gani? ama badae niibuke na mabandiko ya kujisifia ujinga ili hali kichwani mweupe
Lile paper nilililishika nikalicheck ilikuwa balaa zito, kwa jinsi nilivyojipima lile paper B nisingepata asee. Shughuli ile
 

zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
6,535
2,000
HKL, ndo maana mnapokea mshahara laki 5 na mwenzio million na wote mna degree hiyo hiyo moja, unataka ufananishe Physics na Mofimu yako Sio? Form 1 na 2 si darasa zima mlikuwa Science kipi kiliwafanya baadae ukajikuta upo HKL? Jifunze kukubali vitu vilivyo wazi hata kama havikufurahishi. Tchaoo
hao milioni kina nani? hawa walio ishia kuwa waalimu huku hkl akiwa afisa utumishi wao.

haiwezekani watu wote wakawa wanasayansi (tanzania wanasayansi wachache hata 20 hawafiki) mliobaki mnajivunia kukariri mavitabu ya sayansi ila hamna chochote.
 

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
1,994
2,000
hao milioni kina nani? hawa walio ishia kuwa waalimu huku hkl akiwa afisa utumishi wao.

haiwezekani watu wote wakawa wanasayansi (tanzania wanasayansi wachache hata 20 hawafiki) mliobaki mnajivunia kukariri mavitabu ya sayansi ila hamna chochote.
Nyinyi wanahati mnajivunia nini cha maana mlichokifanya?
 

tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
13,500
2,000
Nimekumbuka mbali sana wakati nipo chuo kikuu cha taifa nafanya zangu degree ya biashara.

Majamaa waliosoma pcm walikuwa wanapasua sana na kuona mambo marahisi huku wengi wao hawasomi sana chuo

Kuna mmoja wapo alikuja na hoja kwamba physics ya a level ina mambo mengi ya ku cover kuliko b com degree nzima..

Wakasema topic moja ya physics tu ina vitu vingi kuliko corse nzima ya b com kwenye semester.. ndio maana wao hawasomi sana chuo ila wanapasua tu

Leo nimekumbuka hoja yao baada ya dogo kuniomba masaada nimnunulie baadhi ya vitabu vya a level. Nimeenda madukani hayo mavitabu tu. Nimekumbuka enzi zile chuo hoja za wana science nikaanza kucheka mwenyewe.

Je wale mliosoma pcm a level na degree za biashara humu.. je ni kweli physics ni ngumu kuliko degree nzima ya business?
Ugumu wa fizikia unaanza na kutokua na walimu wazuri wa somo husika,Nikiwa O level nilibahatika kufundishwa na mwalimu m1 ambae alifanya somo kua jepesi sana Maana kumbuka wanafunzi wengi hulikimbia somo kuanzia F2 tu pale...

Ukipanda A level nako changamoto kubwa ni walimu...Naamini ukipata mwalimu mzuri wa fikizia Akakujengea uelewa zaidi Na sio kukariri somo linakua jepesi Tu.....Somo linatopic chache sema subtopics ni nyingi sana mfano kama mechanics tu unasoma ukifika kwenye simple harmonic motion ushasahau mada za nyuma !! Ni somo zuri sana la science
 

ngosha o dakama

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
1,010
2,000
Nilikua napoteza sana muda kusoma physics kuliko maths&chem.daaaah ila niliambulia kupata 'C'.
naamini physics ni habari nyingine kabisa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom