Kupata D au E ya physics A level ni kazi kubwa kuliko kupata degree ya biashara au ya arts, je ni kweli?

Nimekumbuka mbali sana wakati nipo chuo kikuu cha taifa nafanya zangu degree ya biashara.
Majamaa waliosoma pcm walikuwa wanapasua sana na kuona mambo marahisi huku wengi wao hawasomi sana chuo
Kuna mmoja wapo alikuja na hoja kwamba physics ya a level ina mambo mengi ya ku cover kuliko b com degree nzima..
Wakasema topic moja ya physics tu ina vitu vingi kuliko corse nzima ya b com kwenye semester.. ndio maana wao hawasomi sana chuo ila wanapasua tu
Leo nimekumbuka hoja yao baada ya dogo kuniomba masaada nimnunulie baadhi ya vitabu vya a level. Nimeenda madukani hayo mavitabu tu. Nimekumbuka enzi zile chuo hoja za wana science nikaanza kucheka mwenyewe.
Je wale mliosoma pcm a level na degree za biashara humu.. je ni kweli physics ni ngumu kuliko degree nzima ya business?
Kupost pumba ni rahisi kuliko kupost vitu vya msingi yaani chakula cha ubongo.

Think twice
 
Mkuu Laiti kipindi kisingefupishwa hakika hakuna ambae angepona Physics sio somo rafiki duniani kote period..
Ogopa somo ambalo developers wake wengi hawaoi niishie hapa kwa leo
Labda wanaliwa tako.
Wakina Baba paroko wenyewe wanagegeda papuch.
 
Kuhusu akina baba paroko kugegeda papuchi sina uhakika.
Scientists kuliwa tako sio kweli most of them are very focused and occupied mentally..
well said, cc wakina H kunani mkituambia kuhusu Physics mnatuvuruga tu tuliachaga toka 4mII ila mzee na hao wanaopiga mabanda mfano yule dogo wa Mzumbe aliyeongoza kitaifa 2018 mbn alikuwa ana mambo mengi mara kiwanjan, night game za UEFA Champions League hakosi asubuhi kwny magazeti yupo mixer kweny matunda yaani hakuwa mtu wa kutulia sana but strange as it has been seen Physics kaitandika co poa
 
well said, cc wakina H kunani mkituambia kuhusu Physics mnatuvuruga tu tuliachaga toka 4mII ila mzee na hao wanaopiga mabanda mfano yule dogo wa Mzumbe aliyeongoza kitaifa 2018 mbn alikuwa ana mambo mengi mara kiwanjan, night game za UEFA Champions League hakosi asubuhi kwny magazeti yupo mixer kweny matunda yaani hakuwa mtu wa kutulia sana but strange as it has been seen Physics kaitandika co poa
Yeah umeongea fresh mkuu on my side niliacha history na agriculture form II niliona history ngumu kwangu na nilifanya vizuri masomo yangu 8 yaliyobaki..
Kuhusu dogo kutokuwa mtu wa kutulia yeah inawezekana “there are exceptions in every law” but most of these scientists are working very hard including wanaokuwa Tanzania ones
 
phyisics upate mtu anayeijua akuelekeze na lilikua somo ambalo nalipenda sana advance kuliko masomo yote...ila nilipata B mtihani wa mwisho.....na ni kweli kama ukiweza vizuri physics basi course ambazo zina hesabu ndani yake hazitakua na matatizo maana anayejua physics pia hesabu yuko vizuri....we fikiria mtu unasoma hadi mass ya electron, dunia,plancks costant, na mcostants nyingi tuu zinakua kwenye fingerprints it was great time katika maisha yangu ya elimu
Lakini pia uwe mzuri wa kukalili
 
Ni vema ungesoma na wewe ili ujue wanafanya nini huko mashuleni nina wasiwasi na afya ya ubongo wako..
Hospital unatibiwa na wafanya biashara?
TANESCO wamejaa wanasheria?
Viwanda vinaendeshwa na Walevi?
Migodini madini yanachimbwa na wehu kama wewe?
Usiposoma Science ndio unashindwa kufikiria kabisa daah!
Kwaiyo munasoma sayansi ili muajiriwe na TANESCO siyo?? Kweli kama taifa bado tuko nyuma Sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upumbavu ni hali ya kutofundishika. Nitajie bilionea unaemfahamu mahali popote ambae kasoma physics pekee.
Elon Musk kasoma degree ya Mambo ya physics na kawekeza kwenye physics economics, Kaunda marocket yake anataka ahamie Mars aachane na hi dunia iliyojaa wajinga wasiofundishika, kazi kukosoa tu
 
Elon musk kasoma degree ya Mambo ya physics na kawekeza kwenye physics economics,kaunda marocket yake anataka ahamie Mars aachane na hi dunia iliyojaa wajinga wasiofundishika,kazi kukosoa tu

Mbona nasikia kuhamia Mars toka najifunza solar systems form One
 
Back
Top Bottom