Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,751
- 3,689
Makosa ya uchapaji mkuu. Naona umefurahi
Daaaahhh...
Makosa ya uchapaji mkuu. Naona umefurahi
Daaaahhh...
Soon natua pande zakoTayari
Habari,
Kabla ya yote ningependa kujua:
1: Unatumia dawa yoyote ya kuongeza damu?
2: Kabla ya ujauzito hali hii ilikuwepo?
3: Unapata choo kigumu?
4: Unapata maumivu ya tumbo?
Dada nimekuuliza ni dawa gani za kuongeza (Hb)damu unatumia ili tukushauri ubadilishe!! Hiyo ni hali ya kawaid kwa mama mjamzito akiwa anatumia dawa flani za kuongeza damu!! ukinambia unatumia dawa gani nitakushauri ubadilishe hutapata hali kama hiyo tena
1.ndio natumia dawa za kuongeza damu
2.hapana hapo kabla haikuwepo
3.hapana choo changu si kigumu.
4.hapana sina maumivu ya tumbo.
Ni kawaida kupata choo cheusi kama unatumia dawa za kuongeza damu, hii ni kwa sababu ya madini ya chuma yanapomeng'enywa hugeuka na kuwa na rangi hiyo.
ok Badilisha dawa!! Tafuta Dawa inaitwa "FERROBIN" kama upo dar nenda Nakiete pharmacy ipo mwenge, kama kariakoo nenda Robby one pharmacy, Bariki pharmacy utaipataNimekujibu mkuu pole kwa kuchelewa kukujibu nisamehe tu.