Kupanga ni Kuchagua: Bwana yule Kanunua Bajaj mbili, kwa fedha ya Ada ya Mwanae

ntemintale

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
952
1,872
Kupanga ni kuchagua ni maneno ayapendayo Bwana Yule. Na ili kuonesha kauli yake hiyo kwa vitendo, kaamua kununua Bajaj mbili, kwa fedha za ada ya Chuo ya Mwanae. Bajaj hizo kazikodisha, sasa mwanae hana ada tena, kakaa nyumbani akisubiri kwa muda usiojulikana.

Kweli Kupanga ni kuchagua.
Hongera Bwana Yule.
 
Mwanae yuko chuo UDOM na amepata mkopo,wewe endelea kuandika mashairi
 
Mkuu, mbona tuko wote. Siku hizi kuna Sheria kandamizi ya habari. Unatakiwa uandike kwa akili nyingi na Usome katikati ya Mistari. Kwa msaada fanyia kazi maneno haya: Bwana Yule, Bajaj, Ada ya Chuo na Mwanae, utaelewa.
D u u ! Mbona umenitisha, sasa mimi nakimbia, sijui kama nitarudi tenaJF!
 
Kupanga ni kuchagua ni maneno ayapendayo Bwana Yule. Na ili kuonesha kauli yake hiyo kwa vitendo, kaamua kununua Bajaj mbili, kwa fedha za ada ya Chuo ya Mwanae. Bajaj hizo kazikodisha, sasa mwanae hana ada tena, kakaa nyumbani akisubiri kwa muda usiojulikana.

Kweli Kupanga ni kuchagua.
Hongera Bwana Yule.
Sioni tofauti na wale wamama wa mjini midhahabu chekwa lakini watoto wankufwa na kwashakor
 
Back
Top Bottom