kupandishiwa umeme ni sahihi kwa wakazi wa mbezi salasala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kupandishiwa umeme ni sahihi kwa wakazi wa mbezi salasala

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zamlock, Dec 27, 2010.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  maeneo ya mbezi salasala kwa weli tunapata taabu sana tunapata umeme wa kuweza kuwasha hata tv kuanzia saa 6 usiku jamani tulisha sahau kama kuna yaarifa ya habari atunyoshi nguo za kwendea makazini atunywi maji baridi kama mnavyojua hali ya dar hapa, jamani msaada wenu au mtu yeyote anaye husika na tanesco atupeleke kilio chetu kwa wahusika tuondolewe hii kero.
   
 2. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  poleni. fanyen maandamano kama vijana wa vyuoni hapo ndipo mtaona mawaziri wakimiminka kwenu..
   
Loading...