S superfisadi JF-Expert Member May 22, 2009 553 52 Dec 20, 2010 #1 umeme kupanda kwa asilimia18 kwa ghafla hivi inamaana ndiyo wanatukamua fedha za kuwalipa mafisadi through dowan
umeme kupanda kwa asilimia18 kwa ghafla hivi inamaana ndiyo wanatukamua fedha za kuwalipa mafisadi through dowan
Njowepo JF-Expert Member Feb 26, 2008 9,710 2,226 Dec 20, 2010 #3 Mikataba waingie wengine ela tulipie wote Tz bwana bogus kweli