Kupanda kwa bei za gharama za maisha ni malipo kwa mpiga kura? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupanda kwa bei za gharama za maisha ni malipo kwa mpiga kura?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gsana, Jan 28, 2011.

 1. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  WanaJF,Ndugu,nauli ya daladala inapanda,gesi imepanda,umeme umepanda, bei ya sabuni, bei ya mafuta ya taa juu,bei ya sukari imepanda mpaka kilo sh.1900 pengne 2000. Kwa mishahara ya laki tutaenda kweli au serikali inafanya makusudi?? Hizi adhabu ni kubwa kwa mlalahoi,hapa rushwa itakwepeka?
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  You want to live a straight life in tz?
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kibaya zaidi in few days to come utasikia uchumi wa nchi unapaa!
   
 4. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,082
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Mkuu Gsana rekebisha headline "bei za gharama" ??
   
 5. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Jamani taratibu tutafika tu, mwendo ni mdundo tu mdogo mdogo, juzi Tunis, jana Yemen , leo Egypt na kesho ni TZ .
  kwa sababu chaos ys nchi hizo hazitofautiani sana na matatizo tunayoyapata hapa, hivyo sioni ajabu yanayotokea kule siku si chache yakatokea kwetu.
  Unemployment problem bz most of graduates are jobless, inflation, food hikes, transportation and everything is up except salary, so what do u expect from there?
   
 6. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  thanks,badala ya 'na' nkaweka 'za'. Ok mkuu.
   
 7. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  kusema ukweli wanalazimisha ya egypt!
   
 8. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  uchumi wa kwenye maandishi utakuwa lakini uchumi wa mtanzania unakufa,tena kufa kabisaaa!
   
Loading...