Kupanda kwa bei ya bidhaa nchini tatizo nini?

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,918
1,993
Wakuu nimetoka kutegea sikio taarifa ya habari iliorushwa na radio ya fm ambayo imetangaza kuwa katika mkoa wa mji kasoro bahari baadhi ya bidhaa zimepanda bei, pia ikumbukwe kuna maeneo nyama pia imepandishwa bei.

Wakuu wajuzi wa mambo tatizo ni nini naomba tufumbuane macho.

Mungu Ibariki Tanzania
 
Kabla ya uchaguzi watu walipunguza kuzalisha. Wengine wakasitisha kuagiza mizigo toka nje ya nchi.
Sasa hali imetulia, watu wamerudi kwenye shughuli za kawaida.
Bidhaa ni chache na wahitaji ni wengi.
Demand>Supply.
Hali itakuwa sawa mizigo itakapokuwa tayari na uzalishaji utakapokuwa wa kawaida.
 
Watanzania wavivu, hamzalishi bidhaa, nyingi mnaagiza kutoka nje.

Anzeni kufanya kazi tu. Kila kitu kitakuwa rahisi.
 
Watanzania wavivu, hamzalishi bidhaa, nyingi mnaangiza kutoka nje.

Anzeni kufanya kazi tu. Kila kitu kitakuwa rahisi.
Tatizo ni ccm cyo watanzania wavivu. Je kuna watu wavivu dunian kama raia wa gulf states Saudia UAE Kuwait Qatar na Bahrain?
 
Tatizo ni ccm cyo watanzania wavivu. Je kuna watu wavivu dunian kama raia wa gulf states Saudia UAE Kuwait Qatar na Bahrain?
Mkuu huyu bibi hajui kitu ccm ishamuathiri akili!inabidi umkaribishe hapo vest amar aone watu wanavyoishi
 
Tatizo ni ccm cyo watanzania wavivu. Je kuna watu wavivu dunian kama raia wa gulf states Saudia UAE Kuwait Qatar na Bahrain?

Hata unavyoandika inaonesha jinsi ulivyo mvivu.

Hizo nchi ulizozitaja wangekuwa wavivu wasingepiga hatua kubwa sana kimaendeleo na ilhali wako wachache sana.
 
Hata unavyoandika inaonesha jinsi ulivyo mvivu.

Hizo nchi ulizozitaja wangekuwa wavivu wasingepiga hatua kubwa sana kimaendeleo na ilhali wako wachache sana.
ww vp ajuza wa kima2mbi xaxa umekoxoa nn hapo! Unajifanya xana kujua mengi na waqati hujui lolote kaa kimya. 2lia hapo canada uclete uswahili mwingi hum jamvin 7bu ww ni puguan
 
Bei zimepanda kwasababu mahitaji yamekuwa makubwa halafu bidhaa chache. Kwahiyo hapa ni sahihi kusema uzalishaji wa bidhaa na huduma umepungua.

Je kwanini uzalishaji umepungua?

Swali jingine hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom