Kupanda kwa bei mafuta na ukimya wa Serikali (EWURA)

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
Huku kupanda ghafla kwa bidhaa muhimu ya petroli mbona hakutolewi maelezo yoyote na hawa wenzetu wa ewura?
Au ndio tunazichanga hela za uchaguzi?
 
Huku kupanda ghafla kwa bidhaa muhimu ya petroli mbona hakutolewi maelezo yoyote na hawa wenzetu wa ewura?
Au ndio tunazichanga hela za uchaguzi?

Katika mkutano wa 18 wa Bunge la JMT waliongeza matumizi ya ziada katika bajeti ya 2009/10. Moja ya njia rahisi ya kupata fedha hizo ni kupandisha kodi kwenye mafuta ya petroli.
 
EWURA wanachapisha report za bei ya mafuta mara mbili kwa mwezi na wanaweka sababu za kupanda au kushuka kwa mafuta. Tatizo hamsomi hayo matangazo ya EWURA wanayoyatoa magazetini.
 
Duh! Ila Mazee Petrol inapanda kila kukicha, whats Wrong with this Bidhaa?
 
Back
Top Bottom