Kupambana na Serikali kwa maneno ya kuzusha ni dalili ya upinzani kukosa hoja

Kuna watu wanakera sana. Ningekuwa mimi ningeongea kwa maneno makali sana kuliko yale ya Makonda. Ardhi Kinondoni ni miongoni mwa taasisi zinazofanya vibaya sana

Hata kama zinafanya vibaya ,bado sheria za wafanyakazi na utu wa mtu lazima ulindwe.Ni Upumbavu kutukana hadharani wakati uanyemtukana ndiye anayetakiwa kwenda kumsiaida mshtaki.Ndiyo sababu Mfalme Suleima aliomba hekima na busara ili awatawale watu wake.Uongozi wa awamu ya tano umekosa kabisa hekima na busara.Kila uchao ni makengeza tu tunayaona.Hatuoni chochote cha maana zaidi ya majisifu na majigambo.Mimi hivi, mimi mimi mimi.....Miaka mitano si mingi tutaishia na matusi kwenye mihadhara tu na kukimbizana na wapinzani cha maana hakuna
 
Tatizo na wewe mleta mada umejaa majungu mdomo wako mrefu kama bata.

Wewe kazi yako kukashifu wapinzani hiyo ndiyo tabia yenu wote.

Mimi binafsi naona JPM anafanya kazi kubwa hadi nawaza huyu mzee wetu anapata usingizi kweli? Nchi hii imejaa matatizo lukuki na naamini Magu angependa ayapunguze.....hususani corruption na uzembe kazini.

Wewe unayejiita Tata Madiba post nyingi unaandika chuki tu.....wala huonekani mwenye mchango wa maana na hicho chama chako CCM.

Pengine nyie mnaopiga domo hapa daily mnafurahi mkienda kusimulia friends zenu kwamba nyie ni hodari kubishana JF.

Acheni mambo ya ujuha vijana wa CCM na CHADEMA.....fanyeni kazi.
Mkuu acha hasira, washauri BAVICHA ya kuambiwa na mabosi wao wachanganye na ya kwao. Hii nchi imepata kiongozi , tusimkatishe tamaa kwa ujinga ujinga wa wanasiasa. Hakuna ilipoandkwa kuwa LOWASSA akiwa rais ndo tutapata pesa mifukoni wakati wizi wake umechangia kufika hapa tulipo. Tumuunge mkono rais tuachane na uongo uongo kwa sababu tu tumetumwa na akina Lowassa, tutaonekana wapumbavu
 
Hata kama zinafanya vibaya ,bado sheria za wafanyakazi na utu wa mtu lazima ulindwe.Ni Upumbavu kutukana hadharani wakati uanyemtukana ndiye anayetakiwa kwenda kumsiaida mshtaki.Ndiyo sababu Mfalme Suleima aliomba hekima na busara ili awatawale watu wake.Uongozi wa awamu ya tano umekosa kabisa hekima na busara.Kila uchao ni makengeza tu tunayaona.Hatuoni chochote cha maana zaidi ya majisifu na majigambo.Mimi hivi, mimi mimi mimi.....Miaka mitano si mingi tutaishia na matusi kwenye mihadhara tu na kukimbizana na wapinzani cha maana hakuna
Ni upumbavu kutukana hadharani??? Sasa wewe unafanyanini? Makonda hajatukana hata kidogo, mnajishuku tu wenyewe kwa sababu dogo anamsaidia rais sana kufichua maovu, siku zote wapinzani mnapenda kiongozi ashindwe mpate la kusema na hiyo ni dhana potofu kabisa kabisa.
 
Hajatukana sasa amefanya nini??Amesifia siyo??Tatizo la vijana wa CCM hata maovu mnasifia.Hivi Makonda angeambiwa na Rehema maneno yale yale yaliyotoka Kinywani kwa Makonda,huyo Rehema leo angekuwa wapi??

Tunaambiwa usichopenda kutendewa wewe usimtendee mwenzako.Tusipigia makofi hata UPUMBAVU kisa amefanya mtawala aliye kwenye chama chetu.
 
Weka clip inayoonesha akitukana, BAVICHA ndo mna matatizo, hivi kweli mnaweza kumshinda Makonda kwa style hii? Bado sana aisee, mko ki chuki binafsi sana kuliko uhalisia
 
Nakushukuru tu kwa vile umerealize kuwa Rais wetu anafanya kazi kubwa. Mengine uliyoandika ni upuuzi mtupu
Acha kuwa jinga ndugu...unadhani utumbo mwingi mnaoandika humu ni sifa?

Kwenda kafanye kazi
 
Tangu kuingia Madarakani kwa Serikali ya Awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Vyama vya upinzani hususan chama kikuu cha Upinzani cha CHADEMA kimetoa maelekezo kwa vijana wake walioko katika mitandao mbalimbali ya kijamii kuandika taarifa za uongo dhidi ya serikali.

Maelekezo yenye lengo la kudhoofisha kasi ya utendaji kazi wa serikali ya Magufuli yamekuja baada ya Upinzani kukosa hoja za msingi za kuuwezesha kujijenga.

Baadhi ya Uzushi ambao kwa makusudi uliandaliwa na vijana hao kwa maelekezo ya viongozi wao ni pamoja na:

1. Kwamba Makamu wa rais, Samia Suluhu Hassan aliandika barua ya kujiuzulu kwa sababu eti hakuwa na maelewano na rais Magufuli

2. Kwamba Makamu wa Rais aliiagiza mamlaka husika kuzima internet kuanzia asubuhi hadi jioni ili kuwezesha watumishi kufanyakazi

3. Kwamba Rais, Dkt. Magufuli alitengua uteuzi wa RC wa Arusha, Mrisho Gambo

4. Kwamba kiwanda cha Saruji cha DANGOTE kimesitisha uzalishaji kutokana na kupanda kwa gharama za uzalishaji wakati kumbe ni kutokana na tatizo la kiufundi

5. Kwamba Benki ya CRDB itafunga matawi yake yote nchini kuanzia mwezi januari 2017 ili kupunguza gharama za uendeshaji za benki hiyo

6. Kwamba Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi, Prof. Joyce Ndalichako atangaza kuwa Walimu wote wangeshonewa sare za kuvaa wawapo kazini

7. Kwamba Kifaru cha jeshi kiliuzwa

Huo ni baadhi tu ya uzushi ambao umekuwa ukienezwa na vijana hawa ambao wamekuwa tegemeo la propaganda za wanasiasa baada ya Serikali ya awamu ya tano kuonekana kufanyakazi kwa umakini zaidi na hivyo upinzani kukosa hoja za kupanda nazo kwenye majukwaa ya kisiasa.

Mytake: Ni wakati sasa serikali iubaini mtandao huu wa kutengeneza uzushi na kuuchukulia hatua za kisheria. Aidha Wananchi na sisi tujiepushe na uongo wa aina hii na tumuunge mkono rais bila kujali itikadi za vyama, dini na makabila yetu kwani kazi anayoifanya ni ngumu, ina vikwazo na hujuma nyingi zikiwemo hizi za kutaka kuidhoofisha serikali yake kwa maneno ya uongo.
Hapo kwenye bold.thibitisha madai yako ili nawe tusikuone ni mzushi na muongo uliyetumwa na CCM.Pia hayo maelezo ya juu umeandika au umeyatoa wapi?Maana naona mwisho umeandika "Mytake".Au huna uelewa na matumizi ya neno hilo?
Mengineyo sioni uhusiano wowote mpaka uweke ushahidi kuwa CDM walifanya hayo,be smart.Jukwaa hili tukilifanya kama sehemu ya udaki na hisia tu za watu tunalishusha heshima,kuna majukwaa husika kwa ajili ya habari za mipasho.
 
Wapinzani wa Tanzania ni pasua kichwa. Uelewa wao ni mdogo na sijui walipataje hizo nyadhifa walizonazo kwenye vyama vyao
Maoni ya kichaa kama wewe wala hata hawayasikilizi,unapoteza muda tu.
Note:Kwa mujibu wa kamusi mpya,"kichaa" si tusi
 
Mkuu acha hasira, washauri BAVICHA ya kuambiwa na mabosi wao wachanganye na ya kwao. Hii nchi imepata kiongozi , tusimkatishe tamaa kwa ujinga ujinga wa wanasiasa. Hakuna ilipoandkwa kuwa LOWASSA akiwa rais ndo tutapata pesa mifukoni wakati wizi wake umechangia kufika hapa tulipo. Tumuunge mkono rais tuachane na uongo uongo kwa sababu tu tumetumwa na akina Lowassa, tutaonekana wapumbavu
Namuunga mkono president kwa mambo mengi tu. Pia akikosea nitasema wazi tu. Ninyi mnaoleta majungu kwa wapinzani na wapinzani wanaoleta majungu kwa serikali ni majuha tu.....hakuna impact yoyote kubwa mnaleta ndiyo maana nikasema pengine mnafarijika mkienda huko mitaani kuwaambia ndugu zenu kuwa nyie mabingwa wakubishana JF.

Nikikuuliza wewe binafsi umefanya lipi kusaidia kuondoa umaskini mwingi kwenye community yako? Umewahi hata kufanya fundraising kupata chapaa ku-repair shule ya sekondari uliyosoma? Umefanya nini lamaana useme wewe ni bora zaidi ya wapinzani?
 
Suala la dangote sio tatizo la kiufundi, wewe ndo unaleta propaganda hapa
Jiongeze dada yangu, DANGOTE wameshalitolea ufafanuzi na mafundi wa kiwanda wanaendelea na kazi, tatizo likiisha uzalishaji unarudi kama kawaida. Usibebee bango uzushi uliousoma kabla haujafanya utafiti kujiridhisha kama ni kweli au la
 
Hapo ameambiwa MD atoe sababu yoyote ili kuficha ukweli wakati wanashughulikia changamoto za gharama zilizojitokeza.
 
Weka clip inayoonesha akitukana, BAVICHA ndo mna matatizo, hivi kweli mnaweza kumshinda Makonda kwa style hii? Bado sana aisee, mko ki chuki binafsi sana kuliko uhalisia

Mbona Makonda nilishamshinda siku nyingi sana!
1.Hawezi kuwa bright kama mimi
2.Hawezi kuwa na proper management skills kama zangu
3.Hawezi kupata kazi kwa kuzingatia weledi na performance.
4.Sikuajiriwa kwa kupiga Waziri Mkuu.
5.Nimefanikiwa kwa kutumia elimu niliyonayo,uwezo wangu na kuheshimu wakubwa na wadogo.
6.Sijazoe kuropoka hovyo mikutanoni.
7.Nina weledi unafaa kuigwa na jamii yangu.
8.Ninajitambua kwa asilimi 100
9.Ninajua haki zangu kama raia na mfanyakazi.
10.Ninamuogopa sana Mungu aliyenipa uhai.
Na mengine mengi ambayo nina uhakika kwa asilimia 100 nimemzidi Makonda sana tu
 
Back
Top Bottom