Kupambana na rushwa ni kuondoa nenda rudi ya taasisi za Umma

BMWsimba

JF-Expert Member
Aug 6, 2018
347
506
Ni furaha kuona kamanda wa taasisi nyeti ya kupambana na rushwa anakuja kutoka polisi akiwa anajua mifumo yote ya utoaji haki ndani ya jeshi la polisi kujawa na rushwa kuanzia barabarani, jinsi trafiki na polisi wanavyochukua rushwa mpka vituoni hakika tuna imani kubwa na kamanda aende kuweka nguvu na kupambana na rushwa kweli kweli, maana rushwa kwa sasa ni kawaida kwenye kila kona...... na kitu kinachosababisha utoaji rushwa ni ucheleweshwaji wa huduma usio kuwa na ulazima kwenye taasisi mbali mbali za serikali, hii ni mifano ya jinsi rushwa zinatokea na zinaendelea kwenye taasisi za serikali..

1. ukienda uhamiaji unataka kupatiwa passports mchakato unakuwa mrefu sana hata kama umekamilika kwa upande wa documents zinazohitajika utasubiri sanA wakati ukitoa hela ni ndani ya siku moja umepata passports. hapa inabidi kuangalia zoezi hili liwe la mda mfupi ili kuondoa rushwa na ikiwezekana kama mtu kacheleweshwa maafisa waulizwe kwa nini mtu kacheleweshewa. ni bora kutoa rushwa ya 100000 ili kufanikisha kuliko nenda rudi ya zaidi ya wiki ambayo inagharimu mafuta kama una gari, mda, kazi zako za siku hizo nk

2. ukienda polisi umekamatwa utaratibu wa dhamana upo wazi umeambatanisha vigezo vyako vyote unaambiwa kesi kubwa hii sijui nini wakati ukitoa hela mtu wako anatoka aendelee na udhamini hapo bado kuna tatizo., barabarani askari wa pikipiki hawajawahi kuwa na mashine ya kulipisha faini ila kutwa wanahangaika na pikipiki na wanachukua rushwa kila siku na hakuna anayewafuatilia, trafiki kila asubuhi kwenye vituo vya dala dala wanakusanya hesabu kwa madala dala, ukienda junctions kama veta, mfugale, uhasibu unakuta pikipiki zinakamatwa ila huwezi kuta hela inaingia serikalini ..,

3. ukienda rita unataka cheti chao kupata kwa mda mfupi hata kama umemaliza kuwasilisha documents ni ngumu, ila ukitoa hela ni siku moja...hapo ni kuhakikisha mchakatoa wa utoaji huduma ni rahisi.

4. ukienda tanesco mteja akilipia huduma kufungiwa umeme mda wote gari zao hazina mafuta ila ukitoa hela ni mara moja wanakuja kukufungia...

5.tra makadirio ya kodi wao wanachukua 80 serikali 20.

6. ukienda polisi barabarani wao wanachukua asilimia 99 serikali 1.

mwisho kabisa sababu kubwa ya rushwa ni ugumu na ucheleweshaji wa huduma kwa wananchi, ni gharama sana kufuatilia huduma ndani ya taasisi za uma kuanzia kwa mda unaweza fika saa moja asubuhi ukahudumiwa jioni au mchana na bado usikamilishiwe huduma husika , kuna umuhimu wa kuweka huduma za kiserikali kupatikana kirahisi na kwa weledi...wakuu wa taasisi ambao taasisi zao zinaucheleshwaji wa huduma wanatakiwa kuwajibika kwa kupambana kuhakikisha kila huduma wanazotoa zinakuwa ni kwa mda mfupi na kuendana na teknolojia...

tutafanya mambo mengi kuzuia rushwa ila urasimu wa kutoa huduma usipoondoka hata tuwe na taasisi imara kiasi gani hatuwezi ondoa rushwa...hakuna mtu yupo tayari kupoteza mda wakati tayari ana hela mfukoniiiiii.... zero urasimu zero rushwaa
 
Huduma nyingi za Serekali tunaambiwa ni bure na Wanasiasa! Lakini ukweli wenyewe hizo huduma Watumishi wanatuuzia Wananchi, ndiyo maana kama huna pesa Jambo lako lazima lichelewe sana kwenye Mamlaka za ki Serekali! Lakini ukiwa na mpunga wako hizo hizo huduma zinaweza hata kukufuata wwe Nyumbani kwako ndani ya muda mfupi sana!! Umasikini ni kitu kibaya sana,na kinagombanisha sana!!
 
ni kweli kabisa, pesa ina peleka mambo yanakuwa rahisi badala ya mifumo, mfano upatikanaji wa vitu kama passports, leseni, nk ulitakiwa uwe utaratibu smoothly, ila mlolongo wake lazima utoboke tu.....hata hospital kuna vipimo usiku huvipati ila ukiweke hela mbele lazima uhudumiwe
 
Rushwa ndiyo Mzimu mkubwa sana unaotumaliza wa Africa na Nchi zetu!!
 
Back
Top Bottom