Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww unasema.kupaka rangiii kazi kubwa hiyooo? Mie nliwekwa ndani kwa kubadili dirisha mwaka 2017 na kulipa faini ya 50,000/= ntaweka uthibitisho hapa
Ni kweli,Ila nadra kutekelezwa.Kibali cha Ujenzi sawa, ila kupaka rangi wanezidi.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Sheria zilizotungwa zinatuumiza.
Nilikuwa napiga rangi nyumba yangu nikakamatwa sina kibali cha ujenzi.
Hivi hata kupiga rangi tu kibali? Na kuna sheria ya ku-park gari pembeni ya barabara umewasha hazard unakamatwa hata kama imeharibika.
Watunga sheria hizi ni kina nani?
Ipo siku nitapenda kuja kuiona 'live' sura ya sky imekaa kaaje!Inayoogopa katiba mpya kama ukoma
Tutademka mpaka asubuhi , katiba mpya ikipatikana na Mahera wala Mitungi wasihusike na uchaguzi.Ipo siku nitapenda kuja kuiona 'live' sura ya sky imekaa kaaje!
Maana kila nikiona post yako huwa najisikia kudemka na kupandisha mabega juu.😆😆😆!
Ni wazi wamekopi na kupesti sheria za ukSheria zilizotungwa zinatuumiza.
Nilikuwa napiga rangi nyumba yangu nikakamatwa sina kibali cha ujenzi.
Hivi hata kupiga rangi tu kibali? Na kuna sheria ya ku-park gari pembeni ya barabara umewasha hazard unakamatwa hata kama imeharibika.
Watunga sheria hizi ni kina nani?
Mtumia fito wa Kongwa huyoSheria zilizotungwa zinatuumiza.
Nilikuwa napiga rangi nyumba yangu nikakamatwa sina kibali cha ujenzi.
Hivi hata kupiga rangi tu kibali? Na kuna sheria ya ku-park gari pembeni ya barabara umewasha hazard unakamatwa hata kama imeharibika.
Watunga sheria hizi ni kina nani?
Darasa la saba mliowaweka mjengoni na proposalSheria zilizotungwa zinatuumiza.
Nilikuwa napiga rangi nyumba yangu nikakamatwa sina kibali cha ujenzi.
Hivi hata kupiga rangi tu kibali? Na kuna sheria ya ku-park gari pembeni ya barabara umewasha hazard unakamatwa hata kama imeharibika.
Watunga sheria hizi ni kina nani?
rushwa rushwa rushwa rushwa rushwa sawa sawa na umasikini kwa wananchi na TaifaHii nchi ya KISENGE saana, nafatilia kibali cha ujenzi wa fremu, nimechukua fomu nimejaza, wameniambia fanya hiki na kile nimefanya.. Nimechoresha ramani, ikaja kwenda kulipia.. Wananiambia uje na risiti ya urasimishaji, naifatilia mtihani watu wamefunga ofisi, wananiambia uje na ramani ya mji bila hivyo huwezi kupata kibali.. Kwenye fomu hiki kipengele hakipo
Nimeishia kuwaambia hizo fomu wachome moto tu, pesa yangu na bado inipe tabu.
Ni wale walio na weledi wakitanzania.Sheria zilizotungwa zinatuumiza.