Kuoteshwa na Mungu taifa linarejea zama za mawe za kale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuoteshwa na Mungu taifa linarejea zama za mawe za kale

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Mar 30, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,216
  Likes Received: 3,778
  Trophy Points: 280
  Inatisha kwakweli kile nilichokiona ktk tbc saa mbili! Sasa iv kila mtu atasema kaoteshwa! Naamini atatokea atakae oteshwa rais ajae na kwa ujinga wa watz tutamkabidhi nchi hii bila hata uchaguzi kufanyika! Nahisi kunamchezo unachezwa na TISS subirini tuone!!
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,578
  Likes Received: 3,881
  Trophy Points: 280
  Poor Yericko haya mambo yako kila siku yalikua hayatangazwi tu!, hakuna TISS wala nanim, ndivyo tulivyo na tunaishi karne ya 15 kwani nani alikuambia unaishi karne ya 21?
   
 3. s

  sawabho JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Hapa hakuna mkono wa TISS, ila baadhi ya wajanja wanajaribu kutumia ujinga (ignorance) wa watanzania ili kujinufaisha. Wamegundua kuwa wakitumia dhana ya kutibu/afya ya binadamu ndio watafanikiwa kwa kuwa afya ni muhimu sana. Sina uhakika kama kuna mtu au taasisi ambayo inafuatilia utendaji wa hao waliooteshwa ili kuona kama kweli wagonjwa wanaotumia hizo dawa za kuoteshwa wanapona. Mimi nadhani pamoja na kwamba Serikali imetoa tamko kuwa dawa hiyo haina madhara kwa watumiaji, itoe pia tamko kuonyesha matokeo yote HASI na CHANYA kuhusiana na dawa kuliko kusema ni suala la imani. Ina maana mtu akianzisha dhehebu ambalo watu wanajitolea kufa Serikali itasema ni suala la imani?

  Hapa kinachotakiwa ni kupima watu waliokwisha tumia dawa hizo na kuona kama kweli wamepona, kwa sababu pamoja na kwamba dawa inatolewa kwa gharama nafuu (500) lakini gharama ya kuipata ni kubwa kwa maana ya nauli, muda na gharama nyingine zinazohusiana na safari hasa kwa wanaotoka mbali. Kwa sasa hivi tunawasikia watu binafsi wakitoa ushuda kuwa wamepona, nitakuwaje na uhakika gani kuwa huyo mtu hajatumwa na mtoa dawa ili amtangaze? Huyo anayetoa ushuhuda ana mamlaka yapi ya kisheria kuthibitisha kuwa amepona? Mtu binafsi unaweza kujisikia umepona, kumbe umepata nafuu baada ya muda ugonjwa uanarudi kwa nguvu zote na kukuondoa.
   
 4. Revolution

  Revolution JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 565
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Tulichokosa ni mikia tu........sasa mimi nitavumbua ya kwangu ukinywa hiyo huzeeki...unakuwa kijana always.....
   
 5. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  afadhali zama za mawe watu walionyesha maendeleo fulani,hizi ni zama kabla ya uvumbuzi wa mawe......
   
 6. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  subirini nyingine ikiinywa hufii hata usagwe na gari moshi
   
Loading...