Kuota vipele chini ya kichogo karibu na shingo hadi kutoa damu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuota vipele chini ya kichogo karibu na shingo hadi kutoa damu.

Discussion in 'JF Doctor' started by Sharp lady, Jun 10, 2011.

 1. S

  Sharp lady Senior Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi wadau Naombeni ushauri kwa yeyote anafahamu dawa ya kuponyesha vipele vinavyoota chini ya kichwa na kufikia hatua ya kutoa damu na mara nyingine inakuwa vigumu sana hata kuchana nywele. Nina ndugu yangu wa karibu amesumbuliwa na tatizo hili kwa muda sasa. Tadhali naombeni msaada.
   
 2. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280
  tatizo naliona kwa watu wengi zamani nilifikiri ni matatizo wakati wa kuzaliwa
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,436
  Likes Received: 19,789
  Trophy Points: 280
  sina uhakika kama ni kweli, ngoja mzizi mkavu aje hapa, yule ndio mtaalamu wangu wa ukweli.
   
Loading...