Kuota vinyama vidogo vidogo usoni na sehemu za shingo

Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
5,783
7,743
Wadau mtakubaliana nami kwamba kumekuwa na ongezeko la watu ambao wamekuwa wakiota vinyama (muundo wa kipele) vingi vingi usoni, ukimtizama mwenye navyo mwili unapata kamshtuko
Je hii inasababishwa na nini?
 
Waje madr wangozi manake ni wengi sana tunavyo watuelimishe vinasababishwa na nini na tiba yake
 
.......Hii kitu ni genetic zaidi, tena haswa kwa sisi wenye ngozi nyeusi.
Cha msingi ili vitoke jitahidi kutumia topical lotion.
 
Wadau mtakubaliana nami kwamba kumekuwa na ongezeko la watu ambao wamekuwa wakiota vinyama (muundo wa kipele) vingi vingi usoni, ukimtizama mwenye navyo mwili unapata kamshtuko
Je hii inasababishwa na nini?

Kama vile alivyo ZZK? ?
 
Duuuh mwaka huu hatousahau shenzy type.

Vipi tena Jombaa??
Hueleweki halafu Matusi ya nini??

Zittopozi(2).jpg
 
....

Hii kitu ilibidi nijipeleke Selian hospital nilipitia kitu dhu nikahisi tayari!!!!

ngoja nizame ntakuja na jibu...
 
Back
Top Bottom