Kuongoza nchi kunahitaji sana busara na hekima kuliko chochote

Acha niendelee kuangalia muvi za Hollywood naona siasa cwez napita 2
 
Fanya kazi acheni longolongo, nchi ikipasuka mtakua mmeipasua ninyi.
 
Hivi Somalia nayo iliwahi kuwa na amani kabla ya kuwa kama ilivyo sasa?
Natazamia ipo siku tutazama ktk dimbwi kubwa na hakuna atakaetoka salama.
 
Kuongoza inchi sio tu uwe na busara na hekima bali pia ujue kupiga pushup za nguvu jukwaani
 
Back
Top Bottom